Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

Huyo jamaa ni wewe
 
Kama sio ww unayegugumia basi Mzee acha tu kufuatilia au kusikiliza mambo ya watu.
 
Utamu hauna siri

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha miaka kama saba iliyopita dume moja jirani liliangua ukeke wa nguvu ''Mageeeeee'' huku anakoroma. Huyo demu wake alikuwa anaitwa Magdalena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…