Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hako ni kamchezo kanako changamsha akili na mwili, ushauri huyo jamaa kama anasumbua jamii mgongeeni mlango na kumkataza ama tumieni mbinu mbadala inayofaa kwa mazingira husikaKuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake.
Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu najua mwanaume anagugumia kimya kimya kwa sauti ndogo ila huyu jamaa yeye anapiga mikelelee hatari
Swali fikirishi kwanini wanawake eti pia huwa wanalia lakini hawatoi machozi