Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Umewaza nje ya box, hayo mambo kweli yapo.Huenda yeye ndiye anayetafunwa...
Housing za miili yao zinakuwa tofauti na jinsia zao.
Mwanaume anakuwa ni mwanamke kwa ndani kimaumbile na kijinsia tofauti na muonekano wa nje.
Vivyo hivyo na mwanamke anakuwa ni mwanaume kimaumbile ya ndani kijinsia.
Lakini wengine ni wanaume kabisa ambao hujichetua akili na kuanza kuangua vilio vyao vya kishenzi akishakuwa juu ya tuta, akiugulia gharama alizotoa ama manyanyaso aliyofanyiwa kipindi anafukuzia penzi hilo, hivyo anaamua tu aliye kupunguza machungu.