Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
1Uko off topic, hujui kufuatilia mjadala.Niliwahi kuhoji dhana ya Mtumishi mmoja wa Mungu kupeleka injili kwenye jamii ya wafugaji ambayo walikuwa hawaihitji. Matokeo yake eti wakawa wanampiga mpaka wapigaji wanazimia. Sasa unapelekaje kitu kule ambako hakihitajiki na wakati kuna sehemu zingine nyingi tu ambazo hazina kitu kile kile, na zinakihitaji?
2.Umeleta point ambayo haiko relevant kwenye mjadala niliouanzisha hapo juu.
3. Mjadala niliouanzisha unahusu point ya kuipeleka Injili kila sehemu.
4.Hujui hata Biblia inasema nini kuhusu kuhubiri Injili dunia nzima
Mark 16:15
And he said to them, “Go into all the world and proclaim the gospel to the whole creation.15 Akawaambia, “Nendeni ulimwenguni kote, mkawahubirie watu wote Habari Njema.
Sasa kwa nini wanashindwa kwenda kuanzisha kanisa Maka na kuhubiri huko ambako watu hawana makanisa?