Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yale mabasi yanayoweka movie za bongo Zina maudhui sio mazuri na miziki ya ajabu ajabu wengine tunasafiri na watoto inakua shida ni vema wangekua wanaweka documentary Kama za nyerere Labda wanyama wa porini
Na wakifatwa huko huko wanalalamika sijui wapewe nin sas.Kanisani hamuendi ngoja mfatwe huko huko kwenye shughuli zenu
Yaani wewe na akili zako zote hizo umeshindwa kweli kumkamata huyo mtu na kumpa kichapo? Hiyo ni laana na hairuhusiwi mtu uingie ndani ya dala dala na akili zako timamu kwenda kushawishi watu washupalie dini za watu (Ukristu na Uislam).Wadau naomba kuzungumzia kuna hili jambo kwa sasa limezidi kushika kasi kuhubiri ndani ya daladala imekuwa sehemu nyingi hasa mabasi ya Tegeta toka mjini yaaani mnakosa utulivu kwenye mabasi na mwisho wa siku wanachangisha sadaka sasa najiuliza hii hali vipi wadau
Tatizo asilimia kubwa ya hao wahubiru ni wasanii tu. Hata hawahubiri toka moyoni. Wako kwa ajili ya sadaka yako.Wadau naomba kuzungumzia kuna hili jambo kwa sasa limezidi kushika kasi kuhubiri ndani ya daladala imekuwa sehemu nyingi hasa mabasi ya Tegeta toka mjini yaaani mnakosa utulivu kwenye mabasi na mwisho wa siku wanachangisha sadaka sasa najiuliza hii hali vipi wadau
Sasa kwani mtu analazimishwa kuabudu dini za watu? Mtu hataki kwenda kanisani kwa sababu haoni umuhimu wake, utaabudu vipi dini wakati kila mtume ni Myahudi na mzungu, tuache kujipa ujinga bila sababu.Kanisani hamuendi ngoja mfatwe huko huko kwenye shughuli zenu
Hawa watu inabidi wakamatwe na kunyongwa tu, utalazimisha vipi watu wakaabudu dini zisizo zao?Ndio maana yakajengwa makanisa.ina maana huko akuwatoshi.isitoshe kwenye gari kila mtu ana imani yake.inakua sio ustaharabu mzur.
Nimeandika kama jokes tu. Siamini dini yoyote mimiSasa kwani mtu analazimishwa kuabudu dini za watu? Mtu hataki kwenda kanisani kwa sababu haoni umuhimu wake, utaabudu vipi dini wakati kila mtume ni Myahudi na mzungu, tuache kujipa ujinga bila sababu.
Hulazimishwi kusikiliza,kama ni kero nunua gari lakoWanaboa kinyama,nilishawahi kushuka kituo sio changu sababu ya huo upuuzi
Nikiwa na earphones naeka na mziki hadi mwisho
Sawa ndugu muhubiriHulazimishwi kusikiliza,kama ni kero nunua gari lako
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ona mwingine huyu hapa. Mtu kama mashimo ananiambia nini ambacho sikijui iwapo hata ukweli unamshindaWachawi mnaangaika sana.ukiwekewa singeli ,poa tu kusikia habari njema unapiga kelele
Wadau naomba kuzungumzia kuna hili jambo kwa sasa limezidi kushika kasi kuhubiri ndani ya daladala imekuwa sehemu nyingi hasa mabasi ya Tegeta toka mjini yaaani mnakosa utulivu kwenye mabasi na mwisho wa siku wanachangisha sadaka sasa najiuliza hii hali vipi wadau
Na wahubiri kibao wachawiWachawi mnaangaika sana.ukiwekewa singeli ,poa tu kusikia habari njema unapiga kelele
Kanisani huwaga hamji. Hata tunapoweka mikutano ya hadhara huwa hamji, Tumeamua kuwafuata huko huko.Ndio maana yakajengwa makanisa.ina maana huko akuwatoshi.isitoshe kwenye gari kila mtu ana imani yake.inakua sio ustaharabu mzur.
Kuna mwaka fulani nilisafiri kipindi cha Pasaka, basi nililopanda wakaweka mawaidha ya dini ya kiislamu, ikawa muda wote ni kuponda ukristo na hiyo sikukuu ya Pasaka.
Ile safari ilikuwa ndefu balaa, na hakuna hata mmoja aliyeweza kumwomba dreva abadili, dreva na kondakta wote wamefuga ndevu.