fukunyuku1234
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 243
- 494
Usawa wa kijinsiaHii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha
Hii imekaaje wadau.
Vijana wa kiume mmekuwaje?
Vijana aibuUsawa wa kijinsia
Watakuja kusema huyo rafiki yako mmoja ni wewe.Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha
Wanaume wa sasa wamekua ni omba omba mnooo, hadi kero kwa kweli, wajue kuwa hela za wanawake zina macho, hazitokagi hovyo hovyoHii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha
Hii imekaaje wadau.
Vijana wa kiume mmekuwaje?
Mpenda kamseleleko.... vijana tafuteni pesaNiliwahi kuwa ktk mahusiano na mteule fulani alikuwa fair sana alikuwa anapenda kunitania mfano; we fulani uko wapi majibu nipo mgahawani unakula nini namwambia supu ya kuku basi anacheeka anasema huna huo ubavu basi nami namwambia njoo unywe nawe ananijibu nitakuonea bure tuma kijana aje hapa ofisini lakini asiwe mtumishi basi namtuma boda akirudi na misimbaz 7 niliinjoy sana na yule manzi hakuwa na Karaha ila sijawahi muomba hela mara nyingi yeye ndo alikuwa kila kitu aliiuwa ananiambia huo mshahara tunza familia yako na ulikwama niambie na ikawa hivyo nakumbuka dogo kaingia chuo kakosa boom nikawa sina kitu nikapewa 2.5 m nonrefundable yale maisha basi sema alikuwa mke wa mtu afu mdogoooo afu alikuwa mswiiti
Wewe wa kike au wa kiume ?Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha
Hii imekaaje wadau.
Vijana wa kiume mmekuwaje?
Sio sawa kabisa ila ukimbato vzr anakupa mwenyewe bila kushurutishwaHii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha
Hii imekaaje wadau.
Vijana wa kiume mmekuwaje?
Aibu ya nini na mambo yamekazaVijana aibu
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha
Hii imekaaje wadau.
Vijana wa kiume mmekuwaje?