Hivi ni sawa mwanaume kumuomba mwanamke pesa?

Maisha hayanaga kanuni ya aina moja tu.

Loves gives.
Loves is about both giving and receiving.
Sio ujue kupokea tu lakini unapaswa kujifunza kutoa.

Love must be reciprocated
Ye hajawahi kuombwa na mzigo anapewa bure sasa kaona kamseleleko aombe hela......AIBU

Kwanza mwanaume anaempa mwanamke hela hawezi kumuomba hela....hivi viwanaume njaa ndio shida
 
Huyo mdada hampendi huyo kijana, that's the reality.

Ila kijana amefanya makosa makubwa kama anafanya mara kwa mara. Haupaswi kumtegemea mwanamke kwa chochote kile, ni makosa ila pia mwanaume hapaswi kumhudumia mwanamke ambaye humheshimu tu wakati akimpa pesa au mahitaji ila vikikosekana anamdharau. Ni red flag.
 


Kama unampenda unampa wala haina shida iwapo ako na uhitaji .
Hata Mtaji mpe wa biashara iwapo unamuona ako na akili na uwezo wa kufanya biashara.
Akifanikiwa huoni itakuwa Furaha na fahari yenu wote?
Ijapokuwa mpe bila kutegemea any reward ili kuepuka disappointment.
Mpe kiwango unachoweza kusamehe bila kuumia moyo maana huwa wanabadilikaga binadamu.

Lakini iwapo una uwezo mpe hata milioni 10 na kuzidi afanye biashara.
Akishindwa hata dhamira yake itamsuta na wewe utakuwa umenawa mikono.
 

Mwenyezi Mungu anaweza kumuinua pakubwa huyo ukashangaa.
Unaletewa umsaidie ili kesho akiwa juu iwe baraka kwenu nyote unasita.
Akijakubarikiwa ukikutana nae unaweza kuona aibu iwapo uwezo ulikuwa nao na ukakataa kum-support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…