crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,250
- 893
KUTOKANA na ukweli kwamba siku hizi kuna make na model tofauti tofauti, tunahitaji kushauriana ni magari yapi ya kuyakwepa kwa maana ugumu wa kuishi nayo hasa gharama za maitenance, uwezo kuhumiri hali ya barabara ,zetu n.k. Nimetokea kuipenda Mitsubishi Outlander, na mitsubish IO na nyingine Honda CRV, sasa sijui mnanishauri option gani hata kama ni nje ya hizo nilizotaja. ASANTENI karibu kushauri