Umejitahid mkuu si mchezoMimi natumia CR-V Honda second generation manual tokea 2014 mpaka Leo 2025 bado ipo inadunda,cha Umuhimu uzingatie matengenezo na kuweka vipuli halisi.
Ninaipenda kwani ndani Ina nafasi mkubwa ,then inakula mafuta kiasi sio sana kwa town trip hata kwa masafa marefu. Ni kilometer 12 kwa Lita 1.Umejitahid mkuu si mchezo
Jalibu review ya pajero GDI io yenye 4door kale kana option 2wheel na 4wheelKUTOKANA na ukweli kwamba siku hizi kuna make na model tofauti tofauti, tunahitaji kushauriana ni magari yapi ya kuyakwepa kwa maana ugumu wa kuishi nayo hasa gharama za maitenance, uwezo kuhumiri hali ya barabara ,zetu n.k. Nimetokea kuipenda Mitsubishi Outlander, na mitsubish IO na nyingine Honda CRV, sasa sijui mnanishauri option gani hata kama ni nje ya hizo nilizotaja. ASANTENI karibu kushauri
Iyo gari kuna post nimeona inauzwa used ni gari flani simple lakini ukiwa nacho kana muonekano wa kipekee aswa iwe black au pearl white na uhakika kwenye barabara korofiAisee, nimetokea kuipenda hii gari, ina 4WD, Manual halafu low millge less than 80,000KM. Mwenye experience na hili gari please
Nzuri sana mkuuHii hapa mwenye experience na hili gari please msaad wako. Si unajua viela vya kuunga uunga na kukopa
Kama unaitaji unapata iyo gari mkuu iko goodHii hapa mwenye experience na hili gari please msaad wako. Si unajua viela vya kuunga uunga na kukopa
Asante sana mkuu hata hivyo umenisaidia mawazo.. Actually SUV nililenga make za JAPAN.Sema tittle na content yako haviendani sana kwahiyo ngumu wadau kuchangia.
Kwa kuanza na tittle, nadhani SUV nyingi za Ulaya, America zitakua na changamoto sana “kwa watu wenye vipato vya kati” kama ulivosema. Hapo magari kutoka BMW, Audi, VW, Mercedes, Chev, Ford nk. Sio kwamba ni Mabovu ila kuyarun ni gharama kidogo. Kuna uzi unasema jinsi BMW zinavyoachwa gereji. Mwingine alisema jinsi Discovery (Madungu Jeshi) yanavyo wakowakondesha watu.
Tukija kwenye content, SUV pendwa kwa wakina sisi ni kutoka Japan. Brands za Toyota, Subaru, Honda, Mitsubishi, Nissan nk wanajitahidi kwenye ishu ya gharama za uendeshaji, upatikananaji wa vipuri nk.
Kwa gari ulizotaja, zote sio mbaya. Mimi ningeipa kipaumbele CR-V kisha ningekuja Outlander.
Bado ni ngumu kusema final say kwasababu kuna miaka au generation ya izo gari nayo inaplay part ya muhimu sana.
Hinda crv spare unafaidi ukiwa majini makuu tuu hasa dar ila huku mikoani spare ndogo tuu inaweza kukulaza poriniMimi natumia CR-V Honda second generation manual tokea 2014 mpaka Leo 2025 bado ipo inadunda,cha Umuhimu uzingatie matengenezo na kuweka vipuli halisi.