Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?

Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?

Kwani uongo?

Sasa usipokufa ukabaki na majeraha na uko taabani inasaidia kitu gani mkuu? Kuna watu wanapita nyakati ngumu maisha yao yote.

Wakati mwenzetu hapa anawakilisha uhalisia wa wengi wetu hapa, ukiachilia madon wa JF, kuna watu wanahali nyakati ngumu kuwahi kusikia. Hapo utasikia "Kikubwa uhai tu".

Ukiona unaweza kumudu kupata mahitaji ya kawaida ya kila siku na afya njema, mshukuru Mungu sana.
 
Sasa usipokufa ukabaki na majeraha na uko taabani inasaidia kitu gani mkuu? Kuna watu wanapita nyakati ngumu maisha yao yote...
Ili nalo neno man. Nimekula leo x3 nimshukuru Mungu. Ingawa nilitamani nile vizuri zaidi, niende Century Cinemax kuangalia Movie, nnavotoka nitoke na Krussher ya kishua pale jirani ila ndio ivo.. Ngoja nilale kesho nikaumie tena.
 
Muda na umri sio rafiki mzee. Hapa ata kiwanja hamna.

Kama 40 bado, usikonde. Unaambiwa life begins at whaaaat? fote!

Hakikisha tu kila siku unafanya progress hata kama ni ndogo sana.

Ukiiacha ndoo ya maji sehemu, ikawa tone moja linadondoka kuanzia asubuhi ilimradi liendelee muda wote, jioni utakuta ndoo imejaa.

Unaweza kupambana kufukuzana na pesa kwa nguvu sana ukaambulia stress na disappointment za kutosha.
 
Nimescreeshot hii kitu. Shukrani mkali.
 
Back
Top Bottom