Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa

Mkwaju aka Bomba aka mnanati ya mzungu aka chuma aka mjegejo aka gitaa aka mguu wa kuku lazima nije kuwa nayo ila vingine hivyo hapana hata kama vina faida.
 
Tajiri mkuu wa matajiri unaniangusha, matajiri wenzako wana 'safe' walizofungia bunduki kwa ulinzi binafsi
Nikizaliwa Mara moja nitakufa Mara moja, sijawahi kukiogopa kifo.

Kuhusu Mali na fedha, hata uchukue uchumi wangu wote, niachie afya yangu ya mwili na akili, nitarudi tena kuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
 
Back
Top Bottom