Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

kuna tajiri aaiefanya ujambazi hasa wa kunyonya mali za wenzake kuimalisha utajiri wake? Sifa kuu za tajiri acha hawa matajiri uchwara, nasema tajiri ni ujambazi wa umafia kuteketeza biashara za wengine ili abakie yeye sokoni.
Mfano Bakhresa anauza mpaka maandazi , sijui chapati ili kuangamiza akina mama ntilie abakie yeye mwenyewe anakusanya mpaka faida za hawa maskini. Huu ni ujambazi wa sokoni, yaani papa mkubwa anakulaau anaangamiza vidagaa.
Pia ili wewe uwe tajiri lazima kwenye kona yako ufanye ujambazi, kama hutaki kaa hivyohivyo utajiri utausikia kwa wenzio. Sasa fanya ujambazi mzuri sio huu wa kuiba na kukaba watu!
Kwa Bakhresa huo ni mfano mfu.
Haujaendana na maelezo mkuu.
 
Wewe huna akili? Sijasema usimiliki bunduki, ika ukiwa tajiri huwezi kubeba au kukala na bunduki. Wapo watu wa kazi huo.
Unamiliki bunduki just in case walinzi wako wamebananishwa au upo peke yako sekunde kadhaa. Walinzi wakirudi wasije kuokoa marehemu wakukute ukiwa hai unapambania uhai wako.
 
1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Sitafuga majini......ila moja Hadi TATU MUNGU anajua
 
Back
Top Bottom