Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Taja adhali ya kila kimoja na unitag
 
Utashangaa ni Bora ufuge vyote hivyo lakini siyo mke wa 2000
 
1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Pole sana kwani naona unaogopa kupata madhara kwa kumiliki hivyo vyote ulivyovitaja. Lakini kumbuka kifo ni kifo tu usiogope ni aina gani ya kifaa ambacho chaweza sababisha kifo chako.
 
Huyo ni jambazi. Anaishi kwa bastola.
Pistol ukiwa nayo huna amani kila wakati unaigusa kama ipo
Yaani kila wakati wewe ni wasiwasi tu
Bora Short gun inakaa home unakuwa na amani
Kamwe siwezi baba pistol
Nina jamaa zangu wanazo huwa nawaona wanavyo weweseka
Ikiibiwa kesi kwako
 
1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Utajiri au umasikini ni state of mind.
Ukiamua kuwa tajiri utafanikiwa na utajua thamani ya bunduki.
Ukiamua kuwa masikini vile vile poa tu maana waweza kulala mlango wazi bila stress!
 
Wewe huna akili? Sijasema usimiliki bunduki, ika ukiwa tajiri huwezi kubeba au kukala na bunduki. Wapo watu wa kazi huo.
Ukiwaina ditopilealimshoot mtu mchsna kweupe,yule malima kule gest morogoro ilikuwaje,
Yule tajiri mmiliki wa zacharia akimfyatuamjinga mmoja sliyetaka kumteka
 
Kuhusu bunduki nakuunga mkono,kwenye kitabu to kill a mockingbird, chapter 23 Atticus finch anasema

"havin a gun around is an invitation to somebody to shoot you."
 
Back
Top Bottom