Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

Kwa Bakhresa huo ni mfano mfu.
Haujaendana na maelezo mkuu.
 
Wewe huna akili? Sijasema usimiliki bunduki, ika ukiwa tajiri huwezi kubeba au kukala na bunduki. Wapo watu wa kazi huo.
Unamiliki bunduki just in case walinzi wako wamebananishwa au upo peke yako sekunde kadhaa. Walinzi wakirudi wasije kuokoa marehemu wakukute ukiwa hai unapambania uhai wako.
 
1. Bunduki
2. Vilipuzi vya aina mbalimbali
3. Sumu za aina mbalimbali
4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri)
5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara
6. Sitafuga samaki aina ya Bunju
7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Sitafuga majini......ila moja Hadi TATU MUNGU anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…