Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

Pumbavu huna akili. Chama kilichokufa Mwenyekiti wake anawekwa gerezani bila losa.
Angekuwa hana kosa angekuwa nje huru.

Akisema tutakinukisha, ila kinyume chake ananuka yeye
 
CHADEMA hakitakufa. Watakufa wafitini wa ndani na nje ya chama.

Chadema siyo kama huko kwenu 'ccm ina wenyewe'.

Chadema ni chama cha Watanzania wote wanaotaka mabadiliko ya kweli.
 
Angekuwa hana kosa angekuwa nje huru.

Akisema tutakinukisha, ila kinyume chake ananuka yeye
Aliposema kukinukisha alikuwa anamaanisha nini? Kwa nini mahakama imekataa ushahidi muhimu wa video waliyoitegemea CCM?
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Chadema haipo kwenye majengo. Chadema ipo kwenye miyoyo ya waTanzanania na wananchi. Ni kama ilivyo kwa HAMAS ya waPalestina. Israel inapambana kuvunja majengo na kuuwa watu haswa wanawake na watoto wakifikiri wanapambana na HAMAS. Kumbe Hamas ipo kwenye miyoyo ya waPalestine 98% ya wanaoishi GAZA. Hivyo hivyo Chadema ipo miyoyoni mwa watu.
Kesi ya kuzuia chama kufaanya shughuli zake za kisuasa ndio zinasababisha chadema isionekane mitaani.
Kesi ikiisha moto utaendelea kuwaka ka.a kawaida.
 
Aliposema kukinukisha alikuwa anamaanisha nini? Kwa nini mahakama imekataa ushahidi muhimu wa video waliyoitegemea CCM?
Alikuwa ana maanisha yaliyotokea tarehe 29/ 10/25
 
Stori za CHADEMA kufa nimezisikia tangu 2020.

Ila wakisema waitishe mkutano wa hadhara policcm wanakataa, sasa sijawahi kuona kitu kilichojifia kinakuwa tishio.
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
CHADEMA ipo imara wakati wote na ukitaka uamini hilo uwekwe uwanja sawa ushuhudie kwa macho yako
 
Hasa msimamo wa no reform no election umewakata ki....mi kabisa ,now wameachwa na upwiru tu, ndio maana wana weweseka.
Ulikuwa msimamo sahihi, wamekataa kupiga goti mbele ya serikali. In retaliation serikali almost iwamalize lakini wamegota after matukio ya oct 29

Wameshindwa kuwahusisha , na ndio ulikuwa mpango wao
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
CHADEMA sasa hivi ni sawa na dhahabu iliyopitia kwenye tanuri la joto kali na kuwa chama imara zaidi.

Unachokiona sasa hivi ni hofu kubwa na uoga wa hao majambazi waliokalia madaraka kwa nguvu. Wanajuwa wazi kuwa kuendelea kwao kuwa madarakani ni lazima wawakandamize CHADEMA kwa kila njia wawezayo kuwakandamiza.

Ndiyo sababu hawawezi kuthubutu kuwaachia viongozi wa chama hicho na kuruhusu waendelee na shughuli zao za kisiasa.

Sasa wewe unakuja hapa na swali la namna hii, sijui msingi wake ni nini hasa?

Kwa nini "CHADEMA ife" wakati unaziona dalili zote za hao majambazi kuwahofia kuliko wakati mwingine wowote?

Au una maana ya hawa majambazi wakiue chama kwa mabavu; kama wanavyotafuta njia za kufanya hivyo hupitia mahakamani na kwingineko?

Hata haieleweki wazo hili limeingiaje ndani ya akili zako na kuona uanzishe mada juu yake!
 
na wale wanaccm wenye akili timamu, na wazalendo kwa nchi yao ya Tanganyika. Ni @CHAWA pekee na vilaza ndiyo wanaota ndoto za mchana.
Sasa kama kweli "wanaCCM" wa namna hii wapo; hawa sasa ndio wangekuwa wanashirikiana na CHADEMA kuondoa uchafu huu unaaotumia jina la chama chao kufanya maovu.

Hawa wanaCCM, wanasubiri kitu gani huko waliko sasa?
Kutojitoa mbele na kupinga chama chao kutumiwa na genge la majambazi, kunawahusisha na wao kuwa washiriki katika uovu huo.

Hili jambo la "wanaccm wanaojitambua" nadhani sasa inabidi tuanze kulihoji kwa kina zaidi.

Wapo wapi hao wanaCCM; tunamwona Mzee Warioba pekee; wengine wote wako wapi?
Wanasubiri nini; na lini waratuonyesha kuwa wapo na wanajitambua?

Wanasubiri kitokee kitu gani ndipo wajitokeze na twatambue kuwa ni fulani na fulani

Mbali ya Mzee Warioba, kuna nani mwingine?

Huko kwenye mashina na kwenye ngazi zote za chama hicho, wapo wapi na ni akina nani?
 
Hauwezi kufa mara 2, kwa kuwa ilikiwisha kufa tayari tarehe 21/01/2025
Ingekuwa hivyo kama unavyo ota mwenyewe, Samia Suluhu Hassan asingekuwa kwenye matatizo makubwa haya aliyomo sasa hivi.
Mara zote siku hizi unajiandikia tu takataka humu JF.

Inaniwia vigumu sana kuamini kuwa nguruwe kama wewe inalazimu uonekane umeandika kitu humu ili uendelee kupata mlo wa masalia toka kwa huyo mfugaji wako, Samia Suluhu Hassan.
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Kama dhulma ina uwezo wa kuleta kifo na maafa, basi ni heri Cdm ife kifo kitakatifu cha heshima kuliko kuwasaliti Watanganyika kama alivyofanya Mbowe.
 
CHADEMA sasa hivi ni sawa na dhahabu iliyopitia kwenye tanuri la joto kali na kuwa chama imara zaidi.

Unachokiona sasa hivi ni hofu kubwa na uoga wa hao majambazi waliokalia madaraka kwa nguvu. Wanajuwa wazi kuwa kuendelea kwao kuwa madarakani ni lazima wawakandamize CHADEMA kwa kila njia wawezayo kuwakandamiza.

Ndiyo sababu hawawezi kuthubutu kuwaachia viongozi wa chama hicho na kuruhusu waendelee na shughuli zao za kisiasa.

Sasa wewe unakuja hapa na swali la namna hii, sijui msingi wake ni nini hasa?

Kwa nini "CHADEMA ife" wakati unaziona dalili zote za hao majambazi kuwahofia kuliko wakati mwingine wowote?

Au una maana ya hawa majambazi wakiue chama kwa mabavu; kama wanavyotafuta njia za kufanya hivyo hupitia mahakamani na kwingineko?

Hata haieleweki wazo hili limeingiaje ndani ya akili zako na kuona uanzishe mada juu yake!
Msingi wa swali langu ni muhimu sana. Ila mpaka ukae chini na utakafari
 
Msingi wa swali langu ni muhimu sana. Ila mpaka ukae chini na utakafalri.
Mkuu 'Idu', bado unasumbuliwa na ukasumba wa u-ccm; sijui kwa nini watu mliojiweka huko huwa akili zenu zinakuwa ngumu sana kuondokana na sumu hiyo.
Hii ni mara ya pili kwako kufikiri kuwa sielewi mantiki ya mada unayoweka wewe, Kwa nini unafikiri ni vigumu kuelewa unachoandika wewe.

Nisome vizuri, usikimbilie tu kulalamika. Najuwa upo kwenye mabadiliko makubwa kutokana na hali ilivyochafuka huko ndani kwenu. Jitahidi uondoe masalia yanayokuchanganya akili.

Weka maslahi ya Tanzania mbele zaidi ya kitu kingine chochote. Uccm hauna maslahi yoyote na nchi yetu sasa hivi.
 
Back
Top Bottom