Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

Msingi wa swali langu ni muhimu sana. Ila mpaka ukae chini na utakafalri.
"Hivi ni kweli CHADEMA itakufa sababu ya misimamo thabiti ya Lissu na Heche?"

Sasa nieleze kuna "msingi muhimu" hapa kwenye swali kama hili?


Kwa nini "misimamo thabiti" ya viongozi wa CHADEMA iwe ndiyo sababu ya chama kufa?

Ni nani atakiua chama kwa sababu ya misimamo thabiti ya viongozi wake, Samia,na Genge lake, CCM? Kwani itakuwa ni jambo geni kwa hao kujaribu kuiua CHADEMA?

Hiyo "misimamo thabiti" ya viongozi wa CHADEMA, waTanzania wanaiona na kuitambua? Hawa wananchi nao watashiriki katika kuiua CHADEMA, au watailinda?

Nieleze kinagaubaga hicho unachodai wewe kuwa "msingi wa swali lako kuwa muhimu" ni upi?
 
Mkuu 'Idu', bado unasumbuliwa na ukasumba wa u-ccm; sijui kwa nini watu mliojiweka huko huwa akili zenu zinakuwa ngumu sana kuondokana na sumu hiyo.
Hii ni mara ya pili kwako kufikiri kuwa sielewi mantiki ya mada unayoweka wewe, Kwa nini unafikiri ni vigumu kuelewa unachoandika wewe.

Nisome vizuri, usikimbilie tu kulalamika. Najuwa upo kwenye mabadiliko makubwa kutokana na hali ilivyochafuka huko ndani kwenu. Jitahidi uondoe masalia yanayokuchanganya akili.

Weka maslahi ya Tanzania mbele zaidi ya kitu kingine chochote. Uccm hauna maslahi yoyote na nchi yetu sasa hivi.
Tumia common sense vizuri. Mimi nipo CCM? Any way jikite kwenye mada. Swali langu lina mantiki kubwa.
 
"Hivi ni kweli CHADEMA itakufa sababu ya misimamo thabiti ya Lissu na Heche?"

Sasa nieleze kuna "msingi muhimu" hapa kwenye swali kama hili?


Kwa nini "misimamo thabiti" ya viongozi wa CHADEMA iwe ndiyo sababu ya chama kufa?

Ni nani atakiua chama kwa sababu ya misimamo thabiti ya viongozi wake, Samia,na Genge lake, CCM? Kwani itakuwa ni jambo geni kwa hao kujaribu kuiua CHADEMA?

Hiyo "misimamo thabiti" ya viongozi wa CHADEMA, waTanzania wanaiona na kuitambua? Hawa wananchi nao watashiriki katika kuiua CHADEMA, au watailinda?

Nieleze kinagaubaga hicho unachodai wewe kuwa "msingi wa swali lako kuwa muhimu" ni upi?
Soma nilichoandika kuanzia juu hadi chini sio uanze kuniuliza maswali mimi wakati na mimi nimeuliza Swali.
 
Tumia common sense vizuri. Mimi nipo CCM? Any way jikite kwenye mada. Swali langu lina mantiki kubwa.
Kama swali lina "mantiki kubwa", na huwezi kuieleza, tutaelewa nini sisi wasomaji?

Kumbukumbu nilizo nazo kuhusu misimamo yako ulivyoiwasilisha humu JF hadi hivi karibuni ndiyo inayonielekeza kufikiri hivyo, kuwa upo upande huo.
Kama sivyo, basi si neno; lakini bado hiyo haionyeshi chochote kuhusu umuhimu wa swali kwenye kichwa cha mada yako.
 
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.

Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyik
Chadema ife harafu mamilioni ya watanzania walioichoka CCM waende wapi? Chauma ama??
Kwa sasa CCM haichukiwi Bali imechokwa ' elewa neno kuchokwa' ingekuwa inachukiwa basi kungekuwa na uwezekano wa kujifanyia reforms na watu wakaipenda tena.

Kwa sasa Chadema ilipofikia ni ngumu sana kuiua, Chama kikishakuwa na watu wa kukufia huwezi kukiua kihuni kama wanavyojaribu CCM.

C
 
Soma nilichoandika kuanzia juu hadi chini sio uanze kuniuliza maswali mimi wakati na mimi nimeuliza Swali.
You're not serious!

Watu mnakuja humu kufanya mizaha na maswala yanayowaumiza waTanzania?
 
You're not serious!

Watu mnakuja humu kufanya mizaha na maswala yanayowaumiza waTanzania?
You're not serious!

Watu mnakuja humu kufanya mizaha na maswala yanayowaumiza waTanzania?
Mzaha gani? Jana hukumsikia Mzee Butiku? Kwa nini CHADEMA ifungiwe sababu ya Lissu na Heche? Always huwa nakuambia uwe unatumia common sense.
 
Mzaha gani? Jana hukumsikia Mzee Butiku? Kwa nini CHADEMA ifungiwe sababu ya Lissu na Heche? Always huwa nakuambia uwe unatumia common sense.
Again, you're not serious.

Huyo Mzee Butiku ndiye kasema "CHADEMA ifungiwe kwa sababu ya Lissu na Heche"?
Kayasema hayo. Mimi sijayasikia. Na hata kama kayasema, utanihusisha vipi mimi na hayo aliyosema yeye?

Kuna 'common sense' gani katika maneno hayo ambayo unanitaka mimi niitumie?

Once again, you're proving not to be serious in what you're discussing. It's just a waste of time!
 
CDM ishavuka level ya kutishwa tishwa kufutwa.
 
Back
Top Bottom