porojo na usushi wa magaidi umedhibitiwa vilivyo hivi sasa Tanzania,Uchawa ni aibu Kwa jamii.
Angekuwa hana kosa angekuwa nje huru.Pumbavu huna akili. Chama kilichokufa Mwenyekiti wake anawekwa gerezani bila losa.
Hilo bunge kibogoyo hata ni aibu cdm kuwepo humo.CHAUMA wana viti 3 bungeni!! Unaota au unaumwa akili?
Chadema haipo kwenye majengo. Chadema ipo kwenye miyoyo ya waTanzanania na wananchi. Ni kama ilivyo kwa HAMAS ya waPalestina. Israel inapambana kuvunja majengo na kuuwa watu haswa wanawake na watoto wakifikiri wanapambana na HAMAS. Kumbe Hamas ipo kwenye miyoyo ya waPalestine 98% ya wanaoishi GAZA. Hivyo hivyo Chadema ipo miyoyoni mwa watu.Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.
Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Alikuwa ana maanisha yaliyotokea tarehe 29/ 10/25Aliposema kukinukisha alikuwa anamaanisha nini? Kwa nini mahakama imekataa ushahidi muhimu wa video waliyoitegemea CCM?
CHADEMA ipo imara wakati wote na ukitaka uamini hilo uwekwe uwanja sawa ushuhudie kwa macho yakoKuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.
Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Ulikuwa msimamo sahihi, wamekataa kupiga goti mbele ya serikali. In retaliation serikali almost iwamalize lakini wamegota after matukio ya oct 29Hasa msimamo wa no reform no election umewakata ki....mi kabisa ,now wameachwa na upwiru tu, ndio maana wana weweseka.
CHADEMA sasa hivi ni sawa na dhahabu iliyopitia kwenye tanuri la joto kali na kuwa chama imara zaidi.Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.
Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Sasa kama kweli "wanaCCM" wa namna hii wapo; hawa sasa ndio wangekuwa wanashirikiana na CHADEMA kuondoa uchafu huu unaaotumia jina la chama chao kufanya maovu.na wale wanaccm wenye akili timamu, na wazalendo kwa nchi yao ya Tanganyika. Ni @CHAWA pekee na vilaza ndiyo wanaota ndoto za mchana.
Anayeumwa akili ni wewe, unayejifanya kuwa hujui kwamba hapakuwepo na uchaguzi mkuu wa kuchagua wabunge na viongozi wengine wote.CHAUMA wana viti 3 bungeni!! Unaota au unaumwa akili?
Ingekuwa hivyo kama unavyo ota mwenyewe, Samia Suluhu Hassan asingekuwa kwenye matatizo makubwa haya aliyomo sasa hivi.Hauwezi kufa mara 2, kwa kuwa ilikiwisha kufa tayari tarehe 21/01/2025
Kama dhulma ina uwezo wa kuleta kifo na maafa, basi ni heri Cdm ife kifo kitakatifu cha heshima kuliko kuwasaliti Watanganyika kama alivyofanya Mbowe.Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.
Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
Mimi mwanaume ndiyo maana sijibebishi kwa watawala lakini wewe humu kila mtu anajua ni utamu wa Abdul.Na wewe msenge wa Heche?
Msingi wa swali langu ni muhimu sana. Ila mpaka ukae chini na utakafariCHADEMA sasa hivi ni sawa na dhahabu iliyopitia kwenye tanuri la joto kali na kuwa chama imara zaidi.
Unachokiona sasa hivi ni hofu kubwa na uoga wa hao majambazi waliokalia madaraka kwa nguvu. Wanajuwa wazi kuwa kuendelea kwao kuwa madarakani ni lazima wawakandamize CHADEMA kwa kila njia wawezayo kuwakandamiza.
Ndiyo sababu hawawezi kuthubutu kuwaachia viongozi wa chama hicho na kuruhusu waendelee na shughuli zao za kisiasa.
Sasa wewe unakuja hapa na swali la namna hii, sijui msingi wake ni nini hasa?
Kwa nini "CHADEMA ife" wakati unaziona dalili zote za hao majambazi kuwahofia kuliko wakati mwingine wowote?
Au una maana ya hawa majambazi wakiue chama kwa mabavu; kama wanavyotafuta njia za kufanya hivyo hupitia mahakamani na kwingineko?
Hata haieleweki wazo hili limeingiaje ndani ya akili zako na kuona uanzishe mada juu yake!
Mkuu 'Idu', bado unasumbuliwa na ukasumba wa u-ccm; sijui kwa nini watu mliojiweka huko huwa akili zenu zinakuwa ngumu sana kuondokana na sumu hiyo.Msingi wa swali langu ni muhimu sana. Ila mpaka ukae chini na utakafalri.