"Hivi ni kweli CHADEMA itakufa sababu ya misimamo thabiti ya Lissu na Heche?"Msingi wa swali langu ni muhimu sana. Ila mpaka ukae chini na utakafalri.
Tumia common sense vizuri. Mimi nipo CCM? Any way jikite kwenye mada. Swali langu lina mantiki kubwa.Mkuu 'Idu', bado unasumbuliwa na ukasumba wa u-ccm; sijui kwa nini watu mliojiweka huko huwa akili zenu zinakuwa ngumu sana kuondokana na sumu hiyo.
Hii ni mara ya pili kwako kufikiri kuwa sielewi mantiki ya mada unayoweka wewe, Kwa nini unafikiri ni vigumu kuelewa unachoandika wewe.
Nisome vizuri, usikimbilie tu kulalamika. Najuwa upo kwenye mabadiliko makubwa kutokana na hali ilivyochafuka huko ndani kwenu. Jitahidi uondoe masalia yanayokuchanganya akili.
Weka maslahi ya Tanzania mbele zaidi ya kitu kingine chochote. Uccm hauna maslahi yoyote na nchi yetu sasa hivi.
Soma nilichoandika kuanzia juu hadi chini sio uanze kuniuliza maswali mimi wakati na mimi nimeuliza Swali."Hivi ni kweli CHADEMA itakufa sababu ya misimamo thabiti ya Lissu na Heche?"
Sasa nieleze kuna "msingi muhimu" hapa kwenye swali kama hili?
Kwa nini "misimamo thabiti" ya viongozi wa CHADEMA iwe ndiyo sababu ya chama kufa?
Ni nani atakiua chama kwa sababu ya misimamo thabiti ya viongozi wake, Samia,na Genge lake, CCM? Kwani itakuwa ni jambo geni kwa hao kujaribu kuiua CHADEMA?
Hiyo "misimamo thabiti" ya viongozi wa CHADEMA, waTanzania wanaiona na kuitambua? Hawa wananchi nao watashiriki katika kuiua CHADEMA, au watailinda?
Nieleze kinagaubaga hicho unachodai wewe kuwa "msingi wa swali lako kuwa muhimu" ni upi?
Kama swali lina "mantiki kubwa", na huwezi kuieleza, tutaelewa nini sisi wasomaji?Tumia common sense vizuri. Mimi nipo CCM? Any way jikite kwenye mada. Swali langu lina mantiki kubwa.
Chadema ife harafu mamilioni ya watanzania walioichoka CCM waende wapi? Chauma ama??Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti.
Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyik
You're not serious!Soma nilichoandika kuanzia juu hadi chini sio uanze kuniuliza maswali mimi wakati na mimi nimeuliza Swali.
You're not serious!
Watu mnakuja humu kufanya mizaha na maswala yanayowaumiza waTanzania?
Mzaha gani? Jana hukumsikia Mzee Butiku? Kwa nini CHADEMA ifungiwe sababu ya Lissu na Heche? Always huwa nakuambia uwe unatumia common sense.You're not serious!
Watu mnakuja humu kufanya mizaha na maswala yanayowaumiza waTanzania?
Again, you're not serious.Mzaha gani? Jana hukumsikia Mzee Butiku? Kwa nini CHADEMA ifungiwe sababu ya Lissu na Heche? Always huwa nakuambia uwe unatumia common sense.