Hivi ninayeliona hili kwa Haji Manara na Mkewe Zaylisa ni Mimi peke yangu tu hapa JamiiForums au tuko wengi?

hiyo ni attitude ya unyanyapaa na ubaguzi uliokithiri dhidi ya albino wenye mafanikio makubwa
 
HUenda upo sahihi Kwa mafikirio Yako ila hata wew kama umeoa wapo wanaosema huendani na mkeo nawala hufanani Kwa hadhi Yako
Maneno ya watu wengine ni ya wengine upendo, furah ni ya kwao wao kama Kuna majuto pia ni Yao
 
Ndoa za mastaa wengi zinaonekana nzuri kwa nje ila uko ndani kunawaka moto
 
Wote mnachapiwa sana, kuachana kupo hàta Bill gàtes, Elon Musk na màtajiri màhàndsome wote wamechapiwa. Acha mànara a enjoy wakati wàke. Kuna jàmaa aliachwa na zay analia hadi leo.
Mondi, Mbasha, Mwamposa wote wameachwa na wana wanawake wapya.
 
Ndoa nyingi zina mateso basi tu nikuvumiliana, cha msingi manara asifilisike
Mwanaume yeyote ukifilisika mwanamke anakuona tàkataka tuu. Hàta wewe ukifikisikà mkeo atakukimbia.
Hata mimi ni shuhuda nikiwahi kukimbiwa baada ya miaka 2 akaona alphard nyeusi inapack na geti jipya la ku slide akarudi anatembelea magoti.
 
Vipi wewe na mumeo nani anampenda mwenzie zaidi kati yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…