Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee kama manara mapenzi ya kweli kwa kigoli kama kileUsiku bora unaandaliwa penye penzi la kweli
Hadi video ninayo, Manara analikamiaUnauwakika anapewa 🐒
HeheheMuhimu anatoa chakula cha usiku kwq mwanetu, hayo mengine yanavumilika tu
😁😆😅🤣😂 happ kwa mwampoo kuna wale wanaenda kuomba na kuombea ndoa na kuna yeye na mahusiano yake....hatari sanaWote mnachapiwa sana, kuachana kupo hàta Bill gàtes, Elon Musk na màtajiri màhàndsome wote wamechapiwa. Acha mànara a enjoy wakati wàke. Kuna jàmaa aliachwa na zay analia hadi leo.
Mondi, Mbasha, Mwamposa wote wameachwa na wana wanawake wapya.
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe Zaylisa kwa lile Jicho langu la Kinjagu (la Ndege Tai) namuona ni kama vile hafurahishwi kuwa na Haji Manara na kwamba kuna Mtu mmoja pembeni ama ndani au nje ya Nchi ndiyo analifaidi vilivyo Tunda lake zuri la katikati Mtini mwake.
Yawezekana pia Haji Manara anapitia magumu mengi mno na huyu Mkewe Zaylisa ila anaficha ili asiharibu Kibiashara.
Upo sahihi.Wanawake wanaoolewa na manara ni Kwa ajil ya pesa tu hakuna lolote
Maskini huwa hatufirisiki.Mwanaume yeyote ukifilisika mwanamke anakuona tàkataka tuu. Hàta wewe ukifikisikà mkeo atakukimbia.
Hata mimi ni shuhuda nikiwahi kukimbiwa baada ya miaka 2 akaona alphard nyeusi inapack na geti jipya la ku slide akarudi anatembelea magoti.
😂😂😂Mzee kama manara mapenzi ya kweli kwa kigoli kama kile