Hivi ninayeliona hili kwa Haji Manara na Mkewe Zaylisa ni Mimi peke yangu tu hapa JamiiForums au tuko wengi?

Najaribu kuzuia unyanyapaa lakini huyo bibi anawezaje kuvumilia mabusu ya Mzungu?
 
😁😆😅🤣😂 happ kwa mwampoo kuna wale wanaenda kuomba na kuombea ndoa na kuna yeye na mahusiano yake....hatari sana
 
Unamzungumzia Huyu Mzee @50 'Aliyeutega' Au Mwingine?
 
Mwanaume yeyote ukifilisika mwanamke anakuona tàkataka tuu. Hàta wewe ukifikisikà mkeo atakukimbia.
Hata mimi ni shuhuda nikiwahi kukimbiwa baada ya miaka 2 akaona alphard nyeusi inapack na geti jipya la ku slide akarudi anatembelea magoti.
Maskini huwa hatufirisiki.
 
Upo sahihi mkuu,
Kuna shida mahala kwenye mahusiano yao mimi ni mdau wa kusoma vitabu kuna kitabu kinaitwa how to read a person like a book nilikisoma nakiri pale penzi linapumulia mashine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…