Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mil 15?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima inacover tu kama mkopaji akifariki au akipata ulemavu ambao umepelekea kutoendelea na kazi hayo ya kuacha kazi na kukimbia bima hainacover hilo deni atalilipa.Kwa benki hakunaga tatizo kwa sababu mikopo yao huwa ina bima.
Na hata ikitokea wamekukamata huwa hakuna kesi ila mnakaa mezani na kupatana njia ya marejesho kutegemea na uwezo ulionao kwa wakati huo.
Ila kwa upande wa serikali sijajua kulingana na kitengo cha huyo mto anayekimbia kazi.
Kama ni kazi inayohusu uaskari ukikimbia wanakutafuta na wakikukamata wanakuweka mahabusu ukitoka unalazimishwa kuendelea na kazi.
Bima inacover tu kama mkopaji akifariki au akipata ulemavu ambao umepelekea kutoendelea na kazi hayo ya kuacha kazi na kukimbia bima hainacover hilo deni atalilipa ilo deni lake.
Hakuna kitu kama hiko Bima haina cover mtu akikimbia deni. Watu wa Bank na Bima wamo humu watatusaidia kwa info zaidi.Hapana hata mfanyakazi akikimbia huwa bima inalipa watu wa benki sio wajinga hivyo.
Isipokuwa kinachofanyika ni kwamba ukikimbia bima inawalipa lakini pia na wewe ukijipeleka wanakulipisha inakuwa wamepata faida mara 2.
Nina uzoefu wa rafiki zangu walichukua mikopo wakaacha kazi na hadi leo hawajatafutwa ishapita miaka 5 hadi sasa kimya.
Crdb hiyooo na atakuwa ...?Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale
Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha marejesho?
Nini hatma yake kama siku anapatikana?
Ipi inaweza kuwa hukumu yake endapo atapatikana?
Pesa kidogo Sana hio hata gari ya maana upati Kama una mpango huo usitoroke aitakufikisha popote.Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale
Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha marejesho?
Nini hatma yake kama siku anapatikana?
Ipi inaweza kuwa hukumu yake endapo atapatikana?
Achana na mawazo ya njia moja utafanyia biashara gani hio?Hapana ndugu,ni mtumishi mwenzangu kijana mwenzangu isitoshe njia moja pia
Crdb hiyooo na atakuwa....?
No pretending fella's na sina nia ya kufanya hivo ila imetokea hiyo situation kwa ambae ninaemfahamu then nikajiuliza hayo maswali hapo nikakosa majibu ndio nikaona sio mbaya kama nikashare na wanajamvi. IS NOT MEPesa kidogo Sana hio hata gari ya maana upati Kama una mpango huo usitoroke aitakufikisha popote
Hela ni nyingi Kama ujaishikaNo pretending fella's na sina nia ya kufanya hivo ila imetokea hiyo situation kwa ambae ninaemfahamu then nikajiuliza hayo maswali hapo nikakosa majibu ndio nikaona sio mbaya kama nikashare na wanajamvi. IS NOT ME