Hivi nini hatma ya mtumishi wa Serikali ambaye amekopa benki Tsh. mil. 15 na akaamua kutoweka kazini?

Bima inacover tu kama mkopaji akifariki au akipata ulemavu ambao umepelekea kutoendelea na kazi hayo ya kuacha kazi na kukimbia bima hainacover hilo deni atalilipa.
 
Hapana hata mfanyakazi akikimbia huwa bima inalipa watu wa benki sio wajinga hivyo.

Isipokuwa kinachofanyika ni kwamba ukikimbia bima inawalipa lakini pia na wewe ukijipeleka wanakulipisha inakuwa wamepata faida mara 2.

Nina uzoefu wa rafiki zangu walichukua mikopo wakaacha kazi na hadi leo hawajatafutwa ishapita miaka 5 hadi sasa kimya.
Bima inacover tu kama mkopaji akifariki au akipata ulemavu ambao umepelekea kutoendelea na kazi hayo ya kuacha kazi na kukimbia bima hainacover hilo deni atalilipa ilo deni lake.
 
Hakuna kitu kama hiko Bima haina cover mtu akikimbia deni. Watu wa Bank na Bima wamo humu watatusaidia kwa info zaidi.
 
Crdb hiyooo na atakuwa ...?
 
Pesa kidogo Sana hio hata gari ya maana upati Kama una mpango huo usitoroke aitakufikisha popote.
 
Mikopo ina bima kama katoroka ishu ni yeye na mwajiri wake nina ushahidi wengi wamekopa wakaishilia kufanya yao mbona sioni wakitafutwa au benki zinafanya mikakati ya kuwanasa.
 
Pesa kidogo Sana hio hata gari ya maana upati Kama una mpango huo usitoroke aitakufikisha popote
No pretending fella's na sina nia ya kufanya hivo ila imetokea hiyo situation kwa ambae ninaemfahamu then nikajiuliza hayo maswali hapo nikakosa majibu ndio nikaona sio mbaya kama nikashare na wanajamvi. IS NOT ME
 
Jambo la kwanza mkopo una bima. Lapili uyo aliekimbia kazini ndo ameshajifukuza kazi maana sheria inasema ukiwa nje ya kituo cha kazi kwa zaidi ya siku 3 bila ruhusa au mwajiri kutokuwa na taarifa zako hiyo ni automatic termination.
 
No pretending fella's na sina nia ya kufanya hivo ila imetokea hiyo situation kwa ambae ninaemfahamu then nikajiuliza hayo maswali hapo nikakosa majibu ndio nikaona sio mbaya kama nikashare na wanajamvi. IS NOT ME
Hela ni nyingi Kama ujaishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…