whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Ndo maana huwa namuona ana shida
kumbe, ndo maana kafyatukaKuna hasimu wake mgomvi wake ameolewa last weekend japo ndoa zenyewe ndio zile zile za design . Nadhani ndio ameumia zaidi maana mitandao ilichafuka kwa ndoa ile ya hasimu wake. Anazidi kudondosha akili moja moja maskini Diva [emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu nilipoona picha yake niliacha kumfuatilia dah sauti nzuri ila sura kama vile chafya imegoma kutoka.
Walishamwagana kitambo tu mara akajiweka kwa petit sahivi sijui yupo kwa nani labda le mutuzHivi GK walishabwagana au bado wanakokotana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Walishamwagana kitambo tu mara akajiweka kwa petit sahivi sijui yupo kwa nani labda le mutuz
Ule ni uzungu upumbavu na upuuzi tu. Maana hata wazungu hawana matabia na makauli ya ajabu kama ya huyu dada. Yaani yupo kama mtu mwenye laana ya wazazi vile.Nafikiri matatizo yake mengi yameanzia kwenye makuzi, huyu hakulelewa na wazazi wote wawili ndio maana ukimsikiliza sana unagundua kuna nut imelegea kichwani, ana uzungu mwingi sana na maisha ya kuiga.
Hapo unaweza kuta ameshachomoa pregnancy za kutosha. Maana sio kwa swaga zake huyu. Mademu wanaotoa ujauzito wana akili za ajabu sanaHuyo anatamani kuwa na mume,sasa bahati mbaya amegundua kumbe hakunaga **** za kuchezea,wajanja wana hit and run,amebaki kama kifaranga cha kuku kila siku anaamini atanyonya kesho,
Huu ni ukweli mchungu sana,dada zetu huwa mnawadharau sana wananume ooohh mwanaume gani suruali,oooh kibamia nk ila ukweli ni kwamba mwanaume ndio faraja pekee ya mtoto wa kike,we ponda wee ila usiombe siku wanaume wasuse hata kukupigia miruzi mbona utatamni ardhi ipasuke uingie ndani,yaani huyu dada na sepetu ukiwasikiliza mara nyingi kukosa ndoa na watoto hakujawaacha salama kisaikolojia
Ni nani huyo maana hata sijawahi mfuatilia maisha yake personalKuna hasimu wake mgomvi wake ameolewa last weekend japo ndoa zenyewe ndio zile zile za design . Nadhani ndio ameumia zaidi maana mitandao ilichafuka kwa ndoa ile ya hasimu wake. Anazidi kudondosha akili moja moja maskini Diva [emoji22][emoji22][emoji22]
Ni kweli. Wamejaa sana. Wanaishi kwa kutegemea sponsorsHuyu kaachwa hana mpenzi, au ame "Slay" mpaka mwili umechoka, yuko lonely, swala nani atamuonea huruma?!
Hata hilo lijumba sijabu sio lake, kaamuwa tu kuwapa moto moto mabest..
Mwanamke mpaka afike stage hiyo ndipo anakumbuka Dunia haina papara, bata haziishi, na hata ukila sana zinabakia story na mwili kuchoka..
Kajitakia mwenyewe, na jiji la Dar linawadada kama hawa bwelele..
Naona huyu ameshaanza......kichaa kinampanda taratibu naona.Mie sauti yake nikajua ni mtulivu. Ila jamani wadada wanacheza sana na muda,,muda haumsubiri mtu na kila kitu na wakati wake,subiri sasa huo wakati upite uanze kuonge ongea peke yako.
kumbe, ndo maana kafyatuka