Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Ndo maana huwa namuona ana shida

Kuna hasimu wake mgomvi wake ameolewa last weekend japo ndoa zenyewe ndio zile zile za design . Nadhani ndio ameumia zaidi maana mitandao ilichafuka kwa ndoa ile ya hasimu wake. Anazidi kudondosha akili moja moja maskini Diva [emoji22][emoji22][emoji22]
 
kumbe, ndo maana kafyatuka
 
Walishamwagana kitambo tu mara akajiweka kwa petit sahivi sijui yupo kwa nani labda le mutuz

Please usiniachanishe mbavu zangu kwa kicheko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio maarifa yake yanaishia huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Le mutuz akikusikia [emoji1436][emoji1436]
 
Huyu kaachwa hana mpenzi, au ame "Slay" mpaka mwili umechoka, yuko lonely, swala nani atamuonea huruma?!
Hata hilo lijumba sijabu sio lake, kaamuwa tu kuwapa moto moto mabest..
Mwanamke mpaka afike stage hiyo ndipo anakumbuka Dunia haina papara, bata haziishi, na hata ukila sana zinabakia story na mwili kuchoka..
Kajitakia mwenyewe, na jiji la Dar linawadada kama hawa bwelele..
 
Opss Malinzi alipata hasara hapa!hivi yule baba ake mlez alishatolewa mahabusu jomonii..atakua anachanganyikiwa kwa mengi
 
Mie sauti yake nikajua ni mtulivu. Ila jamani wadada wanacheza sana na muda,,muda haumsubiri mtu na kila kitu na wakati wake,subiri sasa huo wakati upite uanze kuonge ongea peke yako.
 
Nafikiri matatizo yake mengi yameanzia kwenye makuzi, huyu hakulelewa na wazazi wote wawili ndio maana ukimsikiliza sana unagundua kuna nut imelegea kichwani, ana uzungu mwingi sana na maisha ya kuiga.
Ule ni uzungu upumbavu na upuuzi tu. Maana hata wazungu hawana matabia na makauli ya ajabu kama ya huyu dada. Yaani yupo kama mtu mwenye laana ya wazazi vile.
 
Huyo anatamani kuwa na mume,sasa bahati mbaya amegundua kumbe hakunaga **** za kuchezea,wajanja wana hit and run,amebaki kama kifaranga cha kuku kila siku anaamini atanyonya kesho,
Huu ni ukweli mchungu sana,dada zetu huwa mnawadharau sana wananume ooohh mwanaume gani suruali,oooh kibamia nk ila ukweli ni kwamba mwanaume ndio faraja pekee ya mtoto wa kike,we ponda wee ila usiombe siku wanaume wasuse hata kukupigia miruzi mbona utatamni ardhi ipasuke uingie ndani,yaani huyu dada na sepetu ukiwasikiliza mara nyingi kukosa ndoa na watoto hakujawaacha salama kisaikolojia
Hapo unaweza kuta ameshachomoa pregnancy za kutosha. Maana sio kwa swaga zake huyu. Mademu wanaotoa ujauzito wana akili za ajabu sana
 
Kuna hasimu wake mgomvi wake ameolewa last weekend japo ndoa zenyewe ndio zile zile za design . Nadhani ndio ameumia zaidi maana mitandao ilichafuka kwa ndoa ile ya hasimu wake. Anazidi kudondosha akili moja moja maskini Diva [emoji22][emoji22][emoji22]
Ni nani huyo maana hata sijawahi mfuatilia maisha yake personal
 
Huyu kaachwa hana mpenzi, au ame "Slay" mpaka mwili umechoka, yuko lonely, swala nani atamuonea huruma?!
Hata hilo lijumba sijabu sio lake, kaamuwa tu kuwapa moto moto mabest..
Mwanamke mpaka afike stage hiyo ndipo anakumbuka Dunia haina papara, bata haziishi, na hata ukila sana zinabakia story na mwili kuchoka..
Kajitakia mwenyewe, na jiji la Dar linawadada kama hawa bwelele..
Ni kweli. Wamejaa sana. Wanaishi kwa kutegemea sponsors
 
Mie sauti yake nikajua ni mtulivu. Ila jamani wadada wanacheza sana na muda,,muda haumsubiri mtu na kila kitu na wakati wake,subiri sasa huo wakati upite uanze kuonge ongea peke yako.
Naona huyu ameshaanza......kichaa kinampanda taratibu naona.
 
nakumbuka aliwahi kutishia kuishitaki jamiiforums
Mahakama gani?!

Kwa pesa gani aliyo nayo au anataka kutumia msaada kutoka kwa sponsors?!

Ha ha ha ha ha ha ha aiseee akiwasha moto wake atajuta.
 
Back
Top Bottom