whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Ndo maana huwa namuona ana shida
Kuna hasimu wake mgomvi wake ameolewa last weekend japo ndoa zenyewe ndio zile zile za design . Nadhani ndio ameumia zaidi maana mitandao ilichafuka kwa ndoa ile ya hasimu wake. Anazidi kudondosha akili moja moja maskini Diva [emoji22][emoji22][emoji22]