Ulikuwa humjui? Tatizo uliingia mjini kwa pupa, husikii la muazini wala msoma swala.....Hehehe! Nilijua tu nikikutisha lazima unambie nije! Kumbe kloro tapeli la mapenzi eeh? Eti kantumia PM vile wewe na kongosho mmegoma kunipeleka Ikungu yeye atanipeleka, eti wanatoka kijiji kimoja na rais wa nchi!
Hehehe! Nilijua tu nikikutisha lazima unambie nije! Kumbe kloro tapeli la mapenzi eeh? Eti kantumia PM vile wewe na kongosho mmegoma kunipeleka Ikungu yeye atanipeleka, eti wanatoka kijiji kimoja na rais wa nchi!
TB alinisaidia kwa mbali
japo kwa kuninyanyasa na twisheni ya inglish
kuna mmoja kama ananiingia moyoni
ila sijamjibu hadharani
ntaingia naye PM
Nilimuomba muda nitafakari
hutaniwi? usilejeshe bana naandaa bonge la hanemuniSina kabisa hizo dalili hivyo shaka ondoa na mahari hairudishwi..
How many "efforts"?of my own efforts
Wasalimie hao kwenye avatar.,..najitahid kuhakikisha sitelezi tena!...lol.Ulikuwa humjui? Tatizo uliingia mjini kwa pupa, husikii la muazini wala msoma swala.....
Sl nimechoka bana, ila tambua tu bado uko kipindi cha mpito, jitihada zako ndo zitakufikisha ikungu...lol
Zimefika mpendwa, kisha jibu na hilo swali hapo juu mwambie jitihada za kutosha tu...Wasalimie hao kwenye avatar.,..najitahid kuhakikisha sitelezi tena!...lol.
Afu nna swali linaniwasha! Ukinipa ruhusa ntakuuliza,..lol umbea sio kazi bana!Zimefika mpendwa, kisha jibu na hilo swali hapo juu mwambie jitihada za kutosha tu...
Tairi Za general tyre hazitelezi...lol!
Hongera basi, inaelekea wewe ndo light skin ama mzungu?lolHahahaaaa duuh! Mistaken jinsia, anyway I love this kind of confusion. Inapunguzaga kero ndogo ndogo kabla hazijafika baraza la madiwani!
Hao kwenye avatar, ukipasua moyo wangu wanatoka hao!
Usijali, your good deeds exceeds the evil ones lolNitatafuta muda tupaongelee hapa.
i have no Idea nilikukanyaga wapi makusudi/bahati mbaya
🙂 🙂
Una katabia wewe! Si nimeaga lakini, maswali napokea kwa njia ya posta, njia ya kielektroniki hata ushahidi wake mgumu mahakamani!Afu nna swali linaniwasha! Ukinipa ruhusa ntakuuliza,..lol umbea sio kazi bana!
Rais wa wabeba mabox ya wapi?Nyani Ngabu Rais wa Wabeba mabox, hapa nadhani MM Mwanakijiji ndio waziri mkuu wake!! mimi sio Mabox tu nabeba mpaka vyuma.
Huyu Max Shimba najuwa nae ni raia wako, ameshinda kesi?
Asante bana, ila hizo pongezi nitazi extend na kwa huyo hapo kwenye avatar!Hongera basi, inaelekea wewe ndo light skin ama mzungu?lol
Nimsubiri Kongosho na wakati naona avatar?Asante bana, ila hizo pongezi nitazi extend na kwa huyo hapo kwenye avatar!
Kongosha atakuambia rangi yangu...
Hahaha! Ni wewe au kuna mtu kaingia kwa jina lako...subiri dk 5 napost suali la msingi...Una katabia wewe! Si nimeaga lakini, maswali napokea kwa njia ya posta, njia ya kielektroniki hata ushahidi wake mgumu mahakamani!
Asante bana, ila hizo pongezi nitazi extend na kwa huyo hapo kwenye avatar!
Kongosha atakuambia rangi yangu...
How many "efforts"?
Huyo ndo baba mtoto hasa...na huyo ndo binti yetu!Nimsubiri Kongosho na wakati naona avatar?
Ama huyo si baba watoto?lol
Kama siye, samahani, kama ndiye, basi more likely you're a light skin person.
Mzungu sidhani, light skin, more likely.
Ngoja nisubiri mawaidha ya Kongosho.
Usijali, your good deeds exceeds the evil ones lol