bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Ulikuwa humjui? Tatizo uliingia mjini kwa pupa, husikii la muazini wala msoma swala.....Hehehe! Nilijua tu nikikutisha lazima unambie nije! Kumbe kloro tapeli la mapenzi eeh? Eti kantumia PM vile wewe na kongosho mmegoma kunipeleka Ikungu yeye atanipeleka, eti wanatoka kijiji kimoja na rais wa nchi!
Sl nimechoka bana, ila tambua tu bado uko kipindi cha mpito, jitihada zako ndo zitakufikisha ikungu...lol