Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Hehehe! Nilijua tu nikikutisha lazima unambie nije! Kumbe kloro tapeli la mapenzi eeh? Eti kantumia PM vile wewe na kongosho mmegoma kunipeleka Ikungu yeye atanipeleka, eti wanatoka kijiji kimoja na rais wa nchi!
Ulikuwa humjui? Tatizo uliingia mjini kwa pupa, husikii la muazini wala msoma swala.....
Sl nimechoka bana, ila tambua tu bado uko kipindi cha mpito, jitihada zako ndo zitakufikisha ikungu...lol
 
Umeuziwa bahari leo

TB alinisaidia kwa mbali
japo kwa kuninyanyasa na twisheni ya inglish

kuna mmoja kama ananiingia moyoni
ila sijamjibu hadharani
ntaingia naye PM
Nilimuomba muda nitafakari

Hhehehehe!!
Boss kawa mwalimu? Or is he making up for the lost times. . . . ?

Huyo mwenye bahati mpe hongera mkikutana PM.
 
Ulikuwa humjui? Tatizo uliingia mjini kwa pupa, husikii la muazini wala msoma swala.....
Sl nimechoka bana, ila tambua tu bado uko kipindi cha mpito, jitihada zako ndo zitakufikisha ikungu...lol
Wasalimie hao kwenye avatar.,..najitahid kuhakikisha sitelezi tena!...lol.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Wasalimie hao kwenye avatar.,..najitahid kuhakikisha sitelezi tena!...lol.
Zimefika mpendwa, kisha jibu na hilo swali hapo juu mwambie jitihada za kutosha tu...
Tairi Za general tyre hazitelezi...lol!
 
Nyani Ngabu Rais wa Wabeba mabox, hapa nadhani MM Mwanakijiji ndio waziri mkuu wake!! mimi sio Mabox tu nabeba mpaka vyuma.
Huyu Max Shimba najuwa nae ni raia wako, ameshinda kesi?
 
Afu nna swali linaniwasha! Ukinipa ruhusa ntakuuliza,..lol umbea sio kazi bana!
 
Hahahaaaa duuh! Mistaken jinsia, anyway I love this kind of confusion. Inapunguzaga kero ndogo ndogo kabla hazijafika baraza la madiwani!
Hao kwenye avatar, ukipasua moyo wangu wanatoka hao!
Hongera basi, inaelekea wewe ndo light skin ama mzungu?lol
 
Afu nna swali linaniwasha! Ukinipa ruhusa ntakuuliza,..lol umbea sio kazi bana!
Una katabia wewe! Si nimeaga lakini, maswali napokea kwa njia ya posta, njia ya kielektroniki hata ushahidi wake mgumu mahakamani!
 
Nyani Ngabu Rais wa Wabeba mabox, hapa nadhani MM Mwanakijiji ndio waziri mkuu wake!! mimi sio Mabox tu nabeba mpaka vyuma.
Huyu Max Shimba najuwa nae ni raia wako, ameshinda kesi?
Rais wa wabeba mabox ya wapi?

Na wewe ndo "Tendwa"?
 
Asante bana, ila hizo pongezi nitazi extend na kwa huyo hapo kwenye avatar!
Kongosha atakuambia rangi yangu...
Nimsubiri Kongosho na wakati naona avatar?

Ama huyo si baba watoto?lol

Kama siye, samahani, kama ndiye, basi more likely you're a light skin person.

Mzungu sidhani, light skin, more likely.

Ngoja nisubiri mawaidha ya Kongosho.
 
Una katabia wewe! Si nimeaga lakini, maswali napokea kwa njia ya posta, njia ya kielektroniki hata ushahidi wake mgumu mahakamani!
Hahaha! Ni wewe au kuna mtu kaingia kwa jina lako...subiri dk 5 napost suali la msingi...
 
Nimsubiri Kongosho na wakati naona avatar?

Ama huyo si baba watoto?lol

Kama siye, samahani, kama ndiye, basi more likely you're a light skin person.

Mzungu sidhani, light skin, more likely.

Ngoja nisubiri mawaidha ya Kongosho.
Huyo ndo baba mtoto hasa...na huyo ndo binti yetu!

Vingine endelea kumsubiria Kongosho lol!
 
Back
Top Bottom