Hivi Nyerere lengo lake haswa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar lilikuwa nini?

Time mapinduzi ya Zanzibar yanafanyika Cold War kati ya Magharibi Vs Soviet,China,Cuba ulikua Ilikua kali Sana,Hawa ubepari,Hawa ujamaa,

Kila upande ulikua unataka Taifa jipya kua chini yake(influence)

Urusi alikua tayari kaingia Zanzibar mwingereza na US wanaogopa wakamwambia Nyerere Ajiunge haraka na Zanzibar,.

Karume Yeye aliogopa wakina abdullamah Babu,walikua wanataka kuchukua nchi,Babu alikua Mjamaa..

So kwa karume ilikua anataka Ulinzi
 
Kwahiyo nyerere lengo lake kumfaidisha karume hakupiga mahesabu ya mbali yeye atafaidikaje, angeachana nao tu wapambane
 
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)

Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi kua Raisi Zanzibar, imekaaje hii?

Labda mimi kichhwa changu kimelewa harufu za damu hembu nyie wasomi nipeni faida zinazoonekana hadi sasa za huu Muungano, Tanganyika inafaidikaje? au Mwalimu alitapwliwa??
Alizingatia sababu za kiusalama zaidi Sheikh, kwamba ikiwa wanajeshi wa bara wakiwepo hapa Zanzibar ni vigumu Nchi yeyote au vikundi vya kigaidi kuivamia Tanganyika kutokea Zanzibar ati
 
1. Zanzibar ingeweza kuwa kitovu cha biashara ya baharini kama Singapore au Mauritius, hivyo Tanganyika ingeweza kulazimika kulipia huduma za bandari.

2. Changamoto za usalama wa baharini, magendo, ushindani wa kijeshi, kisiasa ikiwa zenji ingekuwa na msimamo tofauti wa kisera (mfano, Zanzibar kujiunga na mataifa ya Kiarabu wakati wa Vita Baridi.

Kwa hiyo kuna mambo kadhaa yaliangaliwa.. 🤝🤝
Sasa kwa nini Tusingekuwa kama China na Taiwan?
 
Alizingatia sababu za kiusalama zaidi Sheikh, kwamba ikiwa wanajeshi wa bara wakiwepo hapa Zanzibar ni vigumu Nchi yeyote au vikundi vya kigaidi kuivamia Tanganyika kutokea Zanzibar ati
Mpaka sasa hizo sababu za kiusalama zinatusaidia?
 
1. Zanzibar ingeweza kuwa kitovu cha biashara ya baharini kama Singapore au Mauritius, hivyo Tanganyika ingeweza kulazimika kulipia huduma za bandari.

2. Changamoto za usalama wa baharini, magendo, ushindani wa kijeshi, kisiasa ikiwa zenji ingekuwa na msimamo tofauti wa kisera (mfano, Zanzibar kujiunga na mataifa ya Kiarabu wakati wa Vita Baridi.

Kwa hiyo kuna mambo kadhaa yaliangaliwa.. 🤝🤝
Tanganyika bila zanzibar tusingekua na bandari?
 
Ogopa sana mtu anayejiona kuwa ana akili sana na anajua kila kitu. Mara nyingi huwa hawashauriki. Na ukimpa ushauri unaokinzana na misimamo yake, hata kama misimamo yake ni kengeufu, basi unageuka adui. Hii ndiyo ilikuwa weakness kubwa ya Nyerere.

Muungano wa kinyonyaji huu. Hata kama ulikuwa na faida zamani, kwa sasa hauna maana yo yote. Lakini ndo hivyo. Ukihoji tu unauwawa!

Matatizo mengi tuliyonayo chanzo chake ukichunguza vizuri ni ujuaji wa Nyerere. Dikteta uchwara yule alikuwa mtu wa hovyo sana!
 
Sasa mbona Tanzania ilivamiwa na Uganda na magaidi kutoka Msumbiji??
Sasa kwani walipitia katika ardhi ama anga la Zanzibar? Na katika ile vita Wazanzibar pia tulikusaidieni sana
 
Kwahiyo nyerere lengo lake kumfaidisha karume hakupiga mahesabu ya mbali yeye atafaidikaje, angeachana nao tu wapambane
Sijasema Lengo la Nyerere,nimesema mataifa ya Magharibi ndio yalitaka iwe hivyo..

Nyerere angekataa kwake ingekua hasara kuliko kukubali,.

Karume angepinduliwa Zanzibar,China,Cuba,Soviet wangekua na influence Zanzibar,wangeisaidia Zanzibar kijeshi, biashara na kila kitu,wakati huo yeye kakataa Takwa la US,means yeye angekosa Favor za UK na US,wakati Jirani yake anazidi kua Imara kijeshi na kiuchumi,.hiyo ingekua threat kwa Tanganyika
 
Naona kwasasa ingekua mimi nina uwezo huo ningeuvunja huu muungano
 
Hapana alikuwa logical, wallahi kipindi kile na OIC tulikuwemo...leo mngekuwa bado watumwa wetu
Kwasasa mambo yamebadlika, Pemba na unguja iwe mikoa ya Tanzania, Raisi mmoja, kama haiwezekan muungano uvunjwe hauna maana
 
Back
Top Bottom