Hivi Nyerere lengo lake haswa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar lilikuwa nini?

1. Zanzibar ingeweza kuwa kitovu cha biashara ya baharini kama Singapore au Mauritius, hivyo Tanganyika ingeweza kulazimika kulipia huduma za bandari.

2. Changamoto za usalama wa baharini, magendo, ushindani wa kijeshi, kisiasa ikiwa zenji ingekuwa na msimamo tofauti wa kisera (mfano, Zanzibar kujiunga na mataifa ya Kiarabu wakati wa Vita Baridi.

Kwa hiyo kuna mambo kadhaa yaliangaliwa.. 🤝🤝
1. Zanzibar ikiwa kisiwa cha biashara au hata kama wataamua kufanya utalii kisiwa kizima sisi hiyo haituhusu ni mambo yao huko. Sisi tunadeal na mambo yetu kwasababu hakuna jambo tunahitaji kutoka kwao. Ni muda muafaka sasa wa kugawana mbao wabakie na kifusi chao baharini sisi tuendelee na maisha yetu. Na kiwango cha maji kinavyozidi kupanda huko baharini sijui kama kitakuwapo miaka 50 ijayo Mazafaka hawa.

2. Hakuna changamoto yoyote kule baharini tutaweka vikosi vyetu vya jeshi la Tanganyika na ole wao wajaribu upuuzi wa aina yoyote, tutakwenda kutembeza mkong'oto wote na tutawabalasa. Shenzi type, nina hasira hii wiki sijui zimetoka wapi.
 
Zanzibar siyo nchi ni mkoa tu mwalimu alitambua hilo, sema zenji ndo mbuzi wanajitia wajuaji sana.
 
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)

Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi kua Raisi Zanzibar, imekaaje hii?

Labda mimi kichhwa changu kimelewa harufu za damu hembu nyie wasomi nipeni faida zinazoonekana hadi sasa za huu Muungano, Tanganyika inafaidikaje? au Mwalimu alitapwliwa??
Nyerere hakuunganisha nchi. Alifanya hivyo kwa maagizo ya Marekani ili kuepuka Zenj kwenda kwa Warusi. Si wengi wanalijua hili though.
 
Ogopa sana mtu anayejiona kuwa ana akili sana na anajua kila kitu. Mara nyingi huwa hawashauriki. Na ukimpa ushauri unaokinzana na misimamo yake, hata kama ni kengeufu, basi unageuka adui. Hii ndiyo ilikuwa weakness kubwa ya Nyerere.

Mawazo yake mengine yalikuwa ya hovyo mf. Vijiji vya ujamaa na hili la Muungano. Waliojaribu kumshauri (Oscar Kambona & co) waligeuka maadui. Abdul Jumbe akataka kuitoa Zanzibar kutoka kwenye Muungano. Nyerere akamuweka kifungo cha ndani maisha yake yote. G55 orijino ikataka kuanzisha serikali ya Tanganyika. Wengi hawakurudi bungeni, wengine waliuwawa (Mf. Kolimba) na akina Tuntemeke Sanga wakawekwa vifungo vya ndani mpaka wakafa!

Muungano wa kinyonyaji huu. Hata kama ulikuwa na faida zamani, kwa sasa hauna maana yo yote. Lakini ndo hivyo. Ukihoji tu unauwawa!

Matatizo mengi tuliyonayo chanzo chake ukichunguza vizuri ni ujuaji wa Nyerere. Dikteta uchwara yule alikuwa mtu wa hovyo sana!
USISAHAU KUSEMA MTAKATIFU NYERERE BABA WA TAIFA
 
Sasa kwa nini Tusingekuwa kama China na Taiwan?
Hapo sasa kama unavyojua, bado hatujapata watu sahihi wa kuliweka sawa jambo hili.

Mfano zenj kwa sasa
1. Matibabu ya kawaida ni bure
2. Dialysis ni bure
3. Deni la Taifa ni 0
Kitu ambacho kwa Tanzania bara ni mtihan usiowezekana kwa hali ya sasa.
 
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)

Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi kua Raisi Zanzibar, imekaaje hii?

Labda mimi kichhwa changu kimelewa harufu za damu hembu nyie wasomi nipeni faida zinazoonekana hadi sasa za huu Muungano, Tanganyika inafaidikaje? au Mwalimu alitapwliwa??
Duuh! Mkuu mwanao si anasoma historia hapo unaweza muuliza😂😂
 
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)

Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi kua Raisi Zanzibar, imekaaje hii?

Labda mimi kichhwa changu kimelewa harufu za damu hembu nyie wasomi nipeni faida zinazoonekana hadi sasa za huu Muungano, Tanganyika inafaidikaje? au Mwalimu alitapwliwa??
Ulikuwa mpango wa CIA kuepusha visiwa vya Zanzibar kuwa "Cuba ya africa", wakati ule mabepari wapambana kuzuia kusambaa siasa za wasovieti.
 
1. Zanzibar ikiwa kisiwa cha biashara au hata kama wataamua kufanya utalii kisiwa kizima sisi hiyo haituhusu ni mambo yao huko. Sisi tunadeal na mambo yetu kwasababu hakuna jambo tunahitaji kutoka kwao. Ni muda muafaka sasa wa kugawana mbao wabakie na kifusi chao baharini sisi tuendelee na maisha yetu. Na kiwango cha maji kinavyozidi kupanda huko baharini sijui kama kitakuwapo miaka 50 ijayo Mazafaka hawa.

2. Hakuna changamoto yoyote kule baharini tutaweka vikosi vyetu vya jeshi la Tanganyika na ole wao wajaribu upuuzi wa aina yoyote, tutakwenda kutembeza mkong'oto wote na tutawabalasa. Shenzi type, nina hasira hii wiki sijui zimetoka wapi.
🤣🤣🤣🤣 Eti kifusi chao baharini
 
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)

Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi kua Raisi Zanzibar, imekaaje hii?

Labda mimi kichhwa changu kimelewa harufu za damu hembu nyie wasomi nipeni faida zinazoonekana hadi sasa za huu Muungano, Tanganyika inafaidikaje? au Mwalimu alitapwliwa??
Mambo mawili, la kwanza ni maagizo ya mabwana zake waingereza na pili ni tamaa ya kutanua u kubwa wa himaya yake Yaani ubeberu. Waingereza walitaka ku ali a nguvu za Sultan na uislamu na pia kuzuia Zanzibar isifuate mkono wa kikomunist
 
1. Zanzibar ikiwa kisiwa cha biashara au hata kama wataamua kufanya utalii kisiwa kizima sisi hiyo haituhusu ni mambo yao huko. Sisi tunadeal na mambo yetu kwasababu hakuna jambo tunahitaji kutoka kwao. Ni muda muafaka sasa wa kugawana mbao wabakie na kifusi chao baharini sisi tuendelee na maisha yetu. Na kiwango cha maji kinavyozidi kupanda huko baharini sijui kama kitakuwapo miaka 50 ijayo Mazafaka hawa.

2. Hakuna changamoto yoyote kule baharini tutaweka vikosi vyetu vya jeshi la Tanganyika na ole wao wajaribu upuuzi wa aina yoyote, tutakwenda kutembeza mkong'oto wote na tutawabalasa. Shenzi type, nina hasira hii wiki sijui zimetoka wapi.
Hili ni wazo la sasa, ila siyo wazo la kipindi kile cha utafutaji uhuru kwa kila nchi mkuu.

Na ndo maana kila kukicha kuna sheria kadhaa zinazidi kubadilika kulingana na mabadiliko ya kimazingira.
 
Kwamba Tanganyika inategenea bandari ya Zanzibar?
Hapana sisi tuna bandari 3, ila kuhusu masuala ya usalama, siasa na uchumi nchi iliyo karibu na visiwa ni lazima visiwa viwe chini ya nchi-bara.

Muungano siyo mbaya, shida ni wasimamizi wenyewe ..
 
Kwamba Tanganyika inategenea bandari ya Zanzibar?
Siyo kweli, u mbali kati ya Zanzibar na bara ni mkubwa mno na mpaka ulikuwa kati kati yao. Bandar I ilikuwepo toka 1850s kip indi cha Sultan wa kwanza wa Zanzibar Majid bin Said bin Sultan.Hii ni Baada ya kifo cha baba yake Sultan Said Said 1856 ambapo Zanzibar na Oman zilitengana. Hofu ya waingereza ni Zanzibar kubakı pekee, dini na ukomunist v ilikuwa tishio hivyo USA na Britain wakafanya mpango wakamshawishi Nyerere kama Shirikisho la Afrika Mashariki linashindikana basi Tanganyika iungane na Zanzibar. Plan B ilikuwa ni kuivamia Zanzibar kijeshi, the so called, Zanzibar action plan. K ulikuwa pia na lengo la kulinda malı za kanisa zilizoko Zanzibar, kuna Anglikana na Roman catholic. Nyerere kwa kupenda ufahari na Mamlaka, akachungulia fursa na kuona atatawala bila sida. Kuna hotuba yake moja, Nyerere asikika akisema "Hivi visiwa viwili vitatusumbua sana, Ningekuwa na uwezo ningevisukumia mbali baharını" Kwake süluhü ila siyo Samia akaona kuungana kutapunguza usumbufu, Nyerere was wrong maana hivi visiwa havijawahi kuacha usumbufu kwani hata Rais wa pili wa Zanzibar Rip Aboud Jumbe mwinyi aliandika mwaka 1984" Miaka 30 ya dhoruba"usumbufu sasa umevuka mpaka kiasi cha visiwa hivi kutapanya maliasili za Tanganyika kama bandari, mbuga mistu na kuanza kuua raia wa Tanganyika kama kunguru. Naambiwa hata hawa kunguru wesi waliletwa Tanganyika kutoka Zanzibar. Hakika mwalimu alijua kufumbua fumbo lakini hakuwa na majibu Sahihi. KONGOLE KWA MZEE WARIOBA, ALIKOKOTOA MAJIBU SAHIHI LAKINI VILAZA WAKAYAKATAA. Taabu sasa İko paleple.
 
Back
Top Bottom