Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Haya kaka njoo, ndugu hatugombani..!!
Nitatoa ka elfu 50 tupike kuku na pilau na wewe tunakuwekea.!!
Na elfu 15 ya kreti la soda tunywe kaka maisha ndo haya haya, life is too short 😜
Funga office tusepe😂😂😂hamna mteja atakuja saizi
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Hivi wanaume waliomo humu Jf ndo hao hao tunaokutana nao vilabuni huku Makulu?
Sasa mbona wa humu wanajionaga expensive sana?
Dawa yao ni kuwaomba pesa, ili salamu ziwe fupifupi.
Utakuta mwanaume anakupa salamu ndefu...halafu mwisho wa siku, utamsikia...."niko Njombe"...
Mie Niko Dom, wewe wa Njombe utanipa nini?
Kwanza kutuma nauli kwenyewe hawatumi...hebuuuu💅💅
 
Karibu namtumbo
 
Msiniache nyuma Manka wa watu mie🤣🤣🤣kwetu mgombani hatuna unyago
Shoga, siku hizi hakuna cha migombani, wala matutani.
Unyago ni popote pale...kungwi hana Mkole, popote anakufunda.
Sema wari wengine visebengo, ndio maana misungo inaongezeka.

Nitakuita mwaya
 
Hivi wanaume waliomo humu Jf ndo hao hao tunaokutana nao vilabuni huku Makulu?
Sasa mbona wa humu wanajionaga expensive sana?
Dawa yao ni kuwaomba pesa, ili salamu ziwe fupifupi.
Utakuta mwanaume anakupa salamu ndefu...halafu mwisho wa siku, utamsikia...."niko Njombe"...
Mie Niko Dom, wewe wa Njombe utanipa nini?
Kwanza kutuma nauli kwenyewe hawatumi...hebuuuu💅💅
Kuna Mmoja aliniambia Yuko Peramiho eti niende! nikamwambia tuma nauli....
 
Back
Top Bottom