Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Sawa sawa ila sasa awe muwazi kuwa usinisumbue weka mzigo tukutane sehemu simpo ..visiwe virefu kma vikao vya harusi
Hao labda ni wale wanajiuza ila wanawake wanaojiheshimu utu wao haupimwi kwenye pesa na mostly hawaombi
 
Haya kaka njoo, ndugu hatugombani..!!
Nitatoa ka elfu 50 tupike kuku na pilau na wewe tunakuwekea.!!
Na elfu 15 ya kreti la soda tunywe kaka maisha ndo haya haya, life is too short 😜
Funga office tusepe😂😂😂hamna mteja atakuja saizi
 
Hivi wanaume waliomo humu Jf ndo hao hao tunaokutana nao vilabuni huku Makulu?
Sasa mbona wa humu wanajionaga expensive sana?
Dawa yao ni kuwaomba pesa, ili salamu ziwe fupifupi.
Utakuta mwanaume anakupa salamu ndefu...halafu mwisho wa siku, utamsikia...."niko Njombe"...
Mie Niko Dom, wewe wa Njombe utanipa nini?
Kwanza kutuma nauli kwenyewe hawatumi...hebuuuu💅💅
 
Karibu namtumbo
 
Kuna Mmoja aliniambia Yuko Peramiho eti niende! nikamwambia tuma nauli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…