Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Unaeza omba mwanamke namba akakupa mwenyewe then baadaye unampanga anazingua tena mpaka utajiuliza izi namba nimemnyanganya mwanaume anafuta namba yako bhas mbona wanaume tunajitahid Sana kuwaelewa Kwa misimamo ya ajabu kama hiyo swala siyo jibu ulilojibiwa swala ni uwezo wako wakuwaelewa wengine na kuchukuliana nao na hapo ndo ubora wa mwanamke unapoonekana
 
Kumekucha kumekucha
Haya wanaume mnaitwa na dada mkubwa huku [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sema dada akikutumia muamala mbona utamuanza mwenyewe kumwambia “Niambie” [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hii avatar naipendaga sanaaa [emoji3059] [emoji1787][emoji1787] tukirudi kwenye topic ya shangazi Joannah umesahau na wale wa kuuuliza vipi umekula au unafanya kazi gani hivi unataka kugundua niniii jamani
 
Ha ha haaaaaaaa.....

Umezidisha mkuu
 
Hii avatar naipendaga sanaaa [emoji3059] [emoji1787][emoji1787] tukirudi kwenye topic ya shangazi Joannah umesahau na wale wa kuuuliza vipi umekula au unafanya kazi gani hivi unataka kugundua niniii jamani
Mpaka mtu anakutumia txt za Ivo mko kwa active relationship, kama unaona ni za kijinga mkanye asikutumie then akiacha uanze kulalamika hakuchek
 
Aaaah muombe ela tu
 
Wapumbavu tu ndo mtawaona huko dm kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…