Yes i got you.... abort the fakin mission and return to the base NOW!One Man down over, I repeat one Man down over
Yeah, Backup take the girls down, show no mercy, I repeat show no mercyNeed Evac?
Kuna kujipanga na kuwa na uamko wa mafanikio na kuna kupapukia mafanikio.Kukimbilia mafanikio sio kosa, mnataka wabaki na ujima wa kuogopa kujenga wala magari eti utarogwa?
Basi sawaNgoja tuwape muda wajitetee, sema wengi wao bado wapo fesibuku.
Nakazia na kuongeza point juu....Wivu au upumbavu wenu?
Watoto wanaokula kula hovyo mikuku mitaahira isiyo na baba wala mama, mikuku mis*ng* inayotaga mayai hata bila kupandwa? Wanaokunywa maziwa ya makopo, energy drinks, pombe za kwenye viroba?
Walio radhi kuwa Marioo na kunyang'anywa uanaume ili tu wapate riziki?
Me wanaoongea na Ke kwa sauti za 3 wakilamba lamba lipsi, wanaovaa vipensi milegezo, watoboa masikio, wasuka rasta na wanaojichubua kama demu wangu Chausiku?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
😀😀😀😀 kivumbi leoYote tisa kumi kizazi hiki kinapaka lotion makalioni na kunyoa nywele za mku**ni kizazi Cha laana hiki
Unaweza sema malezi ila shida sio malezi tu kaka.Wazazi wao walizaliwa 60s, 70s na early 90s. Tuseme nao wa hovyo tu, yaani kama vitoto vya 2000s ni vya hovyo, hilo ni zao la wazee wao.
Miaka ya 2000s ndio arv zimekuja kwa kasi kupunguza vifo vya aids, uzazi wa mpango umeshika kasi, y2k na mambo yake mengi.
Sahihi kabisa, makosa yalianzia hapo.2000's ndicho kizazi cha kwanza kuleta long time consequences za ufeminia na utandawazi kwenye jamii, yote tunayoyashuhudia ni matokeo ya kumpa mwanamke unlimited freedom, mababu zetu hawakua wajinga kuiwekea mipaka hii jinsia. Kwa sasa kila binti unaedate nae ana mtoto mdogo either analea mwenyewe au kamuacha mkoani uko analelewa na bibi yake miaka ya mbeleni tutakua na kundi kubwa sana la vijana ambao hawajalelewa na baba na mama. Bahati mbaya sana viongozi wetu wapo bize na kupiga dili na kuzatiti nafasi madarakani haya mambo ya ustawi wa jamii hawana time nayo so the worst is yet to come.
Wanawaonea sana ila hata nyie wenge sana mkuuHizi ndo kauli za wenye hofu na masilahi yao, hasa wamama.
Kupakatwa wameanza zamani tu, tena si ajabu mifano yooote unayoijua hakuna wa 2000s..... bado naamini ni chuki na wivu tu.Kuna kujipanga na kuwa na uamko wa mafanikio na kuna kupapukia mafanikio.
Mchukue kijana wa miaka 23 kwenda chini utakuta anakwambia nataka garu kali,muulize utalipataje,jibu utakalosikia lazma uchoke.
Mwishowe mabinti wanaishia kupigwa pumbu kila leo mtu akifika miaka 20 tu kachookaaa.
Na mwishowe vijana nao ndio hao wanaishiwa kupakatwa.