Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

Kukimbilia mafanikio sio kosa, mnataka wabaki na ujima wa kuogopa kujenga wala magari eti utarogwa?
Kuna kujipanga na kuwa na uamko wa mafanikio na kuna kupapukia mafanikio.
Mchukue kijana wa miaka 23 kwenda chini utakuta anakwambia nataka garu kali,muulize utalipataje,jibu utakalosikia lazma uchoke.
Mwishowe mabinti wanaishia kupigwa pumbu kila leo mtu akifika miaka 20 tu kachookaaa.
Na mwishowe vijana nao ndio hao wanaishiwa kupakatwa.
 
Wivu au upumbavu wenu?
Watoto wanaokula kula hovyo mikuku mitaahira isiyo na baba wala mama, mikuku mis*ng* inayotaga mayai hata bila kupandwa? Wanaokunywa maziwa ya makopo, energy drinks, pombe za kwenye viroba?
Walio radhi kuwa Marioo na kunyang'anywa uanaume ili tu wapate riziki?
Me wanaoongea na Ke kwa sauti za 3 wakilamba lamba lipsi, wanaovaa vipensi milegezo, watoboa masikio, wasuka rasta na wanaojichubua kama demu wangu Chausiku?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nakazia na kuongeza point juu....
2000 wasio jielewa Hawa yupo ladhi apakatwe kisa macho matatu!
Hawa wanao beti hawana tumaini jingine la maisha.

Wamelala kipapai sana yaani kuinamishwa ni kitendo Cha dk sifuri.

Yote tisa kumi kizazi hiki kinapaka lotion makalioni na kunyoa nywele za mku**ni kizazi Cha laana hiki
 
Wazazi wao walizaliwa 60s, 70s na early 80s. Tuseme nao wa hovyo tu, yaani kama vitoto vya 2000s ni vya hovyo, hilo ni zao la wazee wao.

Miaka ya 2000s ndio arv zimekuja kwa kasi kupunguza vifo vya aids, uzazi wa mpango umeshika kasi, y2k na mambo yake mengi.
 
Wazazi wao walizaliwa 60s, 70s na early 90s. Tuseme nao wa hovyo tu, yaani kama vitoto vya 2000s ni vya hovyo, hilo ni zao la wazee wao.

Miaka ya 2000s ndio arv zimekuja kwa kasi kupunguza vifo vya aids, uzazi wa mpango umeshika kasi, y2k na mambo yake mengi.
Unaweza sema malezi ila shida sio malezi tu kaka.
Utandawazi changamoto.
 
2000's ndicho kizazi cha kwanza kuleta long-term consequences za ufeminia na utandawazi kwenye jamii, yote tunayoyashuhudia ni matokeo ya kumpa mwanamke unlimited freedom, mababu zetu hawakua wajinga kuiwekea mipaka hii jinsia. Kwa sasa kila binti unaedate nae ana mtoto mdogo either analea mwenyewe au kamuacha mkoani uko analelewa na bibi yake miaka ya mbeleni tutakua na kundi kubwa sana la vijana ambao hawajalelewa na baba na mama. Bahati mbaya sana viongozi wetu wapo bize na kupiga dili na kuzatiti nafasi zao madarakani haya mambo ya ustawi wa jamii hawana time nayo so the worst is yet to come.
 
2000's ndicho kizazi cha kwanza kuleta long time consequences za ufeminia na utandawazi kwenye jamii, yote tunayoyashuhudia ni matokeo ya kumpa mwanamke unlimited freedom, mababu zetu hawakua wajinga kuiwekea mipaka hii jinsia. Kwa sasa kila binti unaedate nae ana mtoto mdogo either analea mwenyewe au kamuacha mkoani uko analelewa na bibi yake miaka ya mbeleni tutakua na kundi kubwa sana la vijana ambao hawajalelewa na baba na mama. Bahati mbaya sana viongozi wetu wapo bize na kupiga dili na kuzatiti nafasi madarakani haya mambo ya ustawi wa jamii hawana time nayo so the worst is yet to come.
Sahihi kabisa, makosa yalianzia hapo.
 
Nasikia eti watoto wa 2000 huwa wanakula nauli ,ndio maana lawama ni nyingi.
1715514888275.jpg
 
Kuna kujipanga na kuwa na uamko wa mafanikio na kuna kupapukia mafanikio.
Mchukue kijana wa miaka 23 kwenda chini utakuta anakwambia nataka garu kali,muulize utalipataje,jibu utakalosikia lazma uchoke.
Mwishowe mabinti wanaishia kupigwa pumbu kila leo mtu akifika miaka 20 tu kachookaaa.
Na mwishowe vijana nao ndio hao wanaishiwa kupakatwa.
Kupakatwa wameanza zamani tu, tena si ajabu mifano yooote unayoijua hakuna wa 2000s..... bado naamini ni chuki na wivu tu.

Suala la kumiliki gari na kujenga ni basic needs, wala haipaswi kuwa gumu kwa umri wowote.... zamani mlikuwa na vitisho ndivyo vimewachelewesha wengi.
 
Back
Top Bottom