MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC?
2. Sikatai kutoa Motisha ila ukitoa Motisha huku ukihimiza Wachezaji wa Simba SC waumizwe ndiyo unatimiza Kauli Mbiu ya FIFA ya Fair Play?
3. Ahadi kwa Timu zinazocheza tu na Simba SC zinazoambata na Kuumizwa kwa Wachezaji wake Muhimu zina Tija kwa Soka la Tanzania?
4. Wachezaji wa Simba SC ambao Wanaumizwa kwa Makusudi na Kimkakati wasipocheza na Simba SC kufanya vibaya Kimataifa Aibu itabakia tu kwa Simba SC au na kwa Tanzania kama Taifa?
5. Mnaoshangilia hadi Kushadadia Rafu Mbaya ( Mpira wa Fujo ) wanazofanyiwa Wachezaji wa Simba SC hivi Siku ikitokea nanyi Wachezaji wenu Muhimu kama Khalid Aucho, Shabaan Djuma, Yanick Bangala, Dickson Job na Feisal Salum mtashangilia kama mnavyoshangilia wa Simba SC Kuumizwa?
6. Hivi mnajua kuwa endapo Simba SC itatolewa mapema CAF CL kutokana na kuwakosa Wachezaji wake Waandamizi ( Muhimu ) Taifa litapoteza zile nafasi Nne ( 4 ) lakini pia hata Kiuchumi na Kiutalii nchi itaathirika kwa namna moja au nyingine?
7. Je, ikitokea hii Mbinu ya Kimkakati ya Kuwaumiza ( Kuwajeruhi ) Kimakusudi Wachezaji wa Simba SC isopofanikiwa na Simba SC kuendelea Kushinda hamtaamua sasa Kupanga Mikakati ya kuwawekea Sumu Wachezaji wa Simba SC ili Wafe kabisa na Ubingwa wa Ligi Kuu mnaoutafuta kwa Tochi ndani ya miaka Minne ( 4 ) mfululizo mtawazwe nyie kama Makaimu Bingwa?
Tumeshaamua Kumshtakia Baba Mola!!