Hivi nyie mnaoshangilia Mpira wa Fujo, Kukamiwa, Kuumizwa na Ahadi za Viongozi wenye Uyanga wanazofanyiwa Simba SC mna Akili timamu?

Mkuu kama hawataki kuguswa si wakacheze Karata aua DRAFT!

Hivi Thadeo Lwanga anavyowagonga Yanga pale katikati ya uwanja huwa hauoni?

Timu haipaswi kupangiwa namna ya kucheza.
 
Wenyewe wanasema kipindi hiko wala hawakulalamika!

Aliyekuwa Mlezi wa Timu yetu ya Simba akitoa zawadi kwa timu ya KMC ilipoifunga Utopolo

View attachment 1959878
Hela ya bashite haikuwa na maagizo ya kuvunja watu miguu wala pua, kmc haikuwahi ku struggle pesa ya nauli kwenda Rwanda shirikisho, kmc haijawahi kucheza kwenye uwanja uliopauka kama ngozi ya tako la msemaji fulani
Kuna tofauti kubwa sana
 
Wenyewe wanasema kipindi hiko wala hawakulalamika!

Aliyekuwa Mlezi wa Timu yetu ya Simba akitoa zawadi kwa timu ya KMC ilipoifunga Utopolo

View attachment 1959878
Makonda alitanga hadharani mara moja tu kwa kuwahamasisha KMC kama timu ya Mkoa wake.
Nanyinyi basi tangazeni basi hadharani.
Na isiwe ndio mpira wa visasi hadi vya kuwaumiza wachezaji. Mechi na Dodoma Jiji wameumizwa wachezaji watatu. Sakho, Kennedi na Lwanga.
Hivi hamjui kuwa Simba wanawakilisha Kimataifa ?



Dawa yenu ipo Jikoni inachemka
 
Yanga ni timu ya Mkoa gani?
 
Na ndio wanachowez sasa ,ila uto kombe hawatobeba waendelee kugawa noti mikoani
 
2016 nikiwa chawa wa aliekua mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga kwa wakati but now he is back,Yanga tulicheza match 2 mbeya ndani ya wiki na tukazoa point zote 6,wakati huo makalla mkuu wa mkoa wa mbeya,figisu lake lilikua si la kitoto huyu makala alihaidi atuondoki na point hata 1 mbeya,watu waliwekwa mpaka rumande pambavu,leo hii mikia mnalia lia,hii miaka 4 Yanga imefanyiwa umafia wa kinyama
 
Ukweli ni kwamba Yanga mnatumia fedha nyingi kwa lengo la kushusha ubora wa Simba.

Mbona jana hamkutoa ahadi ili Biashara iifunge Ruvu?. Kila Simba inapokwenda na nyinyi mpo, hizi hujuma zenu wala hazijengi.

Mlipewa mbeleko ya ushiriki kimataifa mmeishia kutia aibu. Andaeni timu acheni hii michezo michafu ya kucheza na Marefarii na Timu changa muwe mnazisaidia pia zinapocheza na timu nyingine.
 
Yanga ni timu ya watu binafsi (wanachama)

KMC ni timu ya Serikali chini ya Halmashauri ya Kinondoni.
Sasa kwanini mlie mlie wakati Biashara ni timu ya Mara na Mkuu wa Mkoa katoa kitita kuwapa hamasa,bila kusahau mbunge wa Dodoma kuwapa hamasa Dodoma Jiji,tatizo lipo wapi?
 
Sasa kwanini mlie mlie wakati Biashara ni timu ya Mara na Mkuu wa Mkoa katoa kitita kuwapa hamasa,bila kusahau mbunge wa Dodoma kuwapa hamasa Dodoma Jiji,tatizo lipo wapi?
Biashara fc. ni timu binafsi ya wanachama kama Yanga fc, na sio ya serikali kama KMC.
Simba tunasikitika kukamiwa kwa kuumiziwa wachezaji wetu muhimu.
Kwa rudhuku ya vijisenti kichele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…