Pole sana mkuu, ndio maisha ya kawaida siku hizi.Good morning,.
Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja.....
Kila siku atakupigia simu kujua unaendelea ,.Pole zinakua nyingi mnoo na kuulizia Jambo lako limefikia wapi,. Utasikia "Ee Mungu wangu tunafanyaje maskini " .. Atakwambia usijali Jambo litakaa sawa ni suala na mda Tu kuwa na Subira..
Haya sawa baada ya mamiezi kupita umetokea umeovercome Ile challenge,. And your so excited kumwambia Yule MTU ambae uliona mlikua mnahuzunika pamoja walau mcelebrate au mumshukuru Mungu Kwa pamoja,. .. Heeeey!🙄,. Kwanza reaction Yake inabadilika badala ya furaha anakua na huzuni,. Anakupa hongera hiyo ambayo unakaa unajiuliza hivi huyu Yuko sawa kweli?,.
Haishii hapo,. Anakuzunguka Kwa watu wengine wanakaa kukujadili hivi imewezekanaje?,. Hili haliwezekani !. Anaona haitoshi anamtafuta Hadi aluyekusaidia kutaka kujua kwanini amekusaidia na mmepeana nini in return,. Yaani hataki kukubali kiurahisi kama ni kweli umevuka Ile changamoto..
Asa nmekaa nimejiuliza,. Ina maana yeye furaha yake ilikuwa kuniona nateseka au,. Kuniona nalia kila siku anavyonipa pole yeye ndio anajiskia furaha?,. Yaani yeye anafurahi kunipa pole na sio kunipa hongera au kunipongeza tufurahike pamoja tumeovercome tatizo,.
Nina wasiwasi hata tulivyokua tunasali, tutafunga na kuomba nlikuwa nasali mwenywe huyu mnafki hatukua tutafunga wote kama alivyokua alinambia,.
Wanadamu nimewanyoshea Miguu,. Maana mikono imeshachoka kuandika🤏
Serious huyu bible jinsi alivyokua bega Kwa bega na Mimi,. Saizi ilitakiwa aniulize Kwanza wine tunaenda kunywea wapi yaani tuenjoy tufurahike pamoja,.Pole sana kuna wengi huwa wanafurahia pale tunapopata changamoto mbali mbali katika maisha yetu,ndio maana inatakiwa uwe makini sana kujua nani hasa napaswa kushare nae maumivu yangu
Wengine ni wanafiki tu
Akifurahi ndio inakuaje sasa? Yani we umevuka ye anafaidika nini?😂😂😂Haya sawa,.
Basi hata kufurahia kwamba nimevuka baada ya kunihirumia Kwa mda mrefu?
Na kuna kitu kingine kuna mtu huwa anakuulizia time to time umefikia wapi huyu huwa hana baya,ila ukiona mtu anakuulizia hali yako kupita kiasi mpaka unajiuliza huyu vipi,hawa ndio hufurahia shida zako,anataka kujua bado upo shimoni au umepata ngazi ya kutokeaSerious huyu bible jinsi alivyokua bega Kwa bega na Mimi,. Saizi ilitakiwa aniulize Kwanza wine tunaenda kunywea wapi yaani tuenjoy tufurahike pamoja,.
Imekuwa tofauti eti mwe!
Mara nyingi wanaoumizwa na nyakati zetu za shida ni wazazi wetu au familia yako... Wengine sura zinaonesha wanaumizwa na hali zetu lakini ndani yao ni tofauti kabisaNimejifunza watu wanataka Tu kuskia taarifa zako mbaya wakupe pole za kinafki,. Taarifa nzuri zinawakwaza
Sawa Umeeleweka Mamaaa🤝Akifurahi ndio inakuaje sasa? Yani we umevuka ye anafaidika nini?😂😂😂
We bana jifunze kusimama kwa miguu yako miwili baaas!!! Ikitokea unahisi unahitaji kushirikisha mtu jambo lako iwe ni kujipunguzia tu stress ndani yako na sio KUHURUMIWA
Pia ni kawaida saaana watu kutokupenda good news za mtu labda kama haujawahi kujua.
Ndio maana ni vema sana na utafanikiwa kama una jambo zuri wataka kulifanya kaa nalo kimyaa usishirikishe mtu nikisema MTU namaanisha yeyote, ukishirikisha tu usha attract negativity jambo linaharibika.
Hili ni kweli 💯Na kuna kitu kingine kuna mtu huwa anakuulizia time to time umefikia wapi huyu huwa hana baya,ila ukiona mtu anakuulizia hali yako kupita kiasi mpaka unajiuliza huyu vipi,hawa ndio hufurahia shida zako,anataka kujua bado upo shimoni au umepata ngazi ya kutokea