Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

Kuna mambo kuwashirikisha watu ni kama kuongeza petrol kwenye moto, usiamini hata anaeonesha kufurahi nawe.

Binadam sisi ni watu hatari sana hasa ambae unaona yu karibu nawe ndio hatari zaidi kwa sababu anajua atumie silaha gani kuzidisha au kukuangamiza kabisa.

Tangu nijue kuwa hakuna anaejali chochote kuhusu mapito yangu hata sihangaiki kumshirikisha mtu yeyote maana hata ukiwashirikisha hakuna kinachobadilika, bado vita utapigana nayo mwenyewe.

Ila kufurahia matatizo ya mtu mwingine ni level ya juu kabisa ya ushirikina.
 
Nashukuru kwangu binafsi nina rafiki wa ukweli, au sijui kwa kuwa toka utotoni tuna match.
Tena nahisi mie ndo naweza kuwa tatizo kidogo kwake, ila sio yeye kwangu.

Uzuri tuna hulka zinazofanana, ko tuna winja winja tyuuh.
 
Good morning,.

Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja.....

Kila siku atakupigia simu kujua unaendelea ,.Pole zinakua nyingi mnoo na kuulizia Jambo lako limefikia wapi,. Utasikia "Ee Mungu wangu tunafanyaje maskini " .. Atakwambia usijali Jambo litakaa sawa ni suala na mda Tu kuwa na Subira..

Haya sawa baada ya mamiezi kupita umetokea umeovercome Ile challenge,. And your so excited kumwambia Yule MTU ambae uliona mlikua mnahuzunika pamoja walau mcelebrate au mumshukuru Mungu Kwa pamoja,. .. Heeeey!🙄,. Kwanza reaction Yake inabadilika badala ya furaha anakua na huzuni,. Anakupa hongera hiyo ambayo unakaa unajiuliza hivi huyu Yuko sawa kweli?,.

Haishii hapo,. Anakuzunguka Kwa watu wengine wanakaa kukujadili hivi imewezekanaje?,. Hili haliwezekani sio yeye itakua kuna mtu nyuma!. And yes MTU amekuvusha,..Anaona haitoshi anamtafuta Hadi aliyekusaidia kutaka kujua kwanini amekusaidia na mmepeana nini in return,. Yaani hataki kukubali kiurahisi kama ni kweli umevuka Ile changamoto..

Asa nmekaa nimejiuliza,. Ina maana yeye furaha yake ilikuwa kuniona nateseka au,. Kuniona nalia kila siku anavyonipa pole yeye ndio anajiskia furaha?,. Yaani yeye anafurahi kunipa pole na sio kunipa hongera au kunipongeza tufurahike pamoja tumeovercome tatizo,.

Nina wasiwasi hata tulivyokua tunasali, tutafunga na kuomba nlikuwa nasali mwenywe huyu mnafki hatukua tutafunga wote kama alivyokua alinambia,.

Wanadamu nimewanyoshea Miguu,. Maana mikono imeshachoka kuandika
Duhh.. story of ma life!😅

Yani ni kama umenisema jmn isitoshe ni mwanamke na ana nafasi ya uchungaji kanisani, nilifanyiwa maombi na nabii kuhusu kazi akanionesha ambayo nitapata, na kweli ikatimia si nikamrudia huyu dada(pastor) nikamuelezea huku nalia kwa furaha, kwani week iliisha😅 tuliishia kugombana vitu havina mbele wala nyuma na kutukanana eti na pastor nyiee🤣💔

Basi ndo saiz ananipita kama mshumaa wa pasaka mchungaji huyu hatusalimiani kanisani hebu imagine inavyoumiza, kugundua ndio zake hapendi kbs mtu apige hatua au amzidi yani ana wivu wa ajabu mpk kanisani mtu akija kachoka akaanza kufanikiwa anajinunisha mchungaji huyu! Eeh Mungu tusaidie😓🙏🏽
 
😂😂😂😂😂
 
Nashukuru kwangu binafsi nina rafiki wa ukweli, au sijui kwa kuwa toka utotoni tuna match.
Tena nahisi mie ndo naweza kuwa tatizo kidogo kwake, ila sio yeye kwangu.

Uzuri tuna hulka zinazofanana, ko tuna winja winja tyuuh.
I had one,. Ni wakiume wa toka utotoni

Unluckily nilimweka kando kwasabu ya mpenzi wangu alikuwa hapendi ukaribu wetu.. He's very real and dedicated
 
Akifurahi ndio inakuaje sasa? Yani we umevuka ye anafaidika nini?😂😂😂

We bana jifunze kusimama kwa miguu yako miwili baaas!!! Ikitokea unahisi unahitaji kushirikisha mtu jambo lako iwe ni kujipunguzia tu stress ndani yako na sio KUHURUMIWA

Pia ni kawaida saaana watu kutokupenda good news za mtu labda kama haujawahi kujua.

Ndio maana ni vema sana na utafanikiwa kama una jambo zuri wataka kulifanya kaa nalo kimyaa usishirikishe mtu nikisema MTU namaanisha yeyote, ukishirikisha tu usha attract negativity jambo linaharibika.
Naunga mkono hoja
 
Duhh.. story of ma life!😅

Yani ni kama umenisema jmn isitoshe ni mwanamke na ana nafasi ya uchungaji kanisani, nilifanyiwa maombi na nabii kuhusu kazi akanionesha ambayo nitapata, na kweli ikatimia si nikamrudia huyu dada(pastor) nikamuelezea huku nalia kwa furaha, kwani week iliisha😅 tuliishia kugombana vitu havina mbele wala nyuma na kutukanana eti na pastor nyiee🤣💔

Basi ndo saiz ananipita kama mshumaa wa pasaka mchungaji huyu hatusalimiani kanisani hebu imagine inavyoumiza, kugundua ndio zake hapendi kbs mtu apige hatua au amzidi yani ana wivu wa ajabu mpk kanisani mtu akija kachoka akaanza kufanikiwa anajinunisha mchungaji huyu! Eeh Mungu tusaidie😓🙏🏽
Eti nae ni mchungaji,.
Hakika ya ulimwengu ni mengi🥺🧐
 
Back
Top Bottom