Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

This one📍📍
Ndio maisha kwahiyo icho unachokiona sasa sio mwisho wake, kipo na kitaendelea kuwepo na kadri miaka inavyozidi kusogea ndio kinaongezeka zaidi na zaidi kwa ukubwa wa mibaraka utakayokuwa umejaaliwa na Mwenyezi Mungu.

NB: Ukiwa na familia inabidi ulielewe sana hili ili kuilinda familia yako.
 
Tena naona bora muwe marafiki wa jinsia tofauti, hii itakua realistic, kuliko jinsia 1 ni unafiki, uongo etc.

Mpenzi wako nae hakuamini au? Lol
Wivu Tu na insecurities zake,.
Lakini yanini kumtesa mtu Kwa suala unaloweza kuliacha,.
I chose him over my best friend... Hapa nawaza nikiachwa naanzaje eti kujirudisha😂😂😂😂😂
 
Ndio maisha kwahiyo icho unachokiona sasa sio mwisho wake, kipo na kitaendelea kuwepo na kadri miaka inavyozidi kusogea ndio kinaongezeka zaidi na zaidi kwa ukubwa wa mibaraka utakayokuwa umejaaliwa na Mwenyezi Mungu.

NB: Ukiwa na familia inabidi ulielewe sana hili ili kuilinda familia yako.
Kwakweli,.
Tena masuala ya familia au mahusiano mnaweza kuharibu Mambo kwasabu ya watu
 
Eti nae ni mchungaji,.
Hakika ya ulimwengu ni mengi🥺🧐
Wewe acha tu! Na akamtafuta rafkiangu wa karibu kamjaza maneno rafiki kaninunia wee miezi mi3 Mungu si athumani juzi kajileta kazini kwangu na jana nilikuwa naye hana ata cha kueleza! Kwaio tunaendelea tulipoishia😆Dada mchungaji alihakikisha kila mtu anitenge! Ndo kwanza sina muda🤣 yeye aendelee tu kunipita kama nyanya mbichi🤭
 
Inatokea pale tu kukiwa na jambo zuri, la mafanikio la kuleta furaha
Ni hatari mno kuna watu/ndugu mama yangu alikuwa anadhani ni wema sana kwake, ilimchukua mda sana kulitambua hilo ila kuna siku aliyaamini yale wanae tuliyokuwa tunamwambia anaodhani wapo nae pamoja sio, na ndio wanaozidisha makali kwenye mapito.

Kuwaamini binadam ni taabu sana.
 
Jifunze kuacha kutafuta huruma kwa watu....
Hii kitu nami niliikataa.. sitaki kuhurumiwa tena.. mwanadamu ni yule yule
20250826_073148.jpg
 
Wewe acha tu! Na akamtafuta rafkiangu wa karibu kamjaza maneno rafiki kaninunia wee miezi mi3 Mungu si athumani juzi kajileta kazini kwangu na jana nilikuwa naye hana ata cha kueleza! Kwaio tunaendelea tulipoishia😆Dada mchungaji alihakikisha kila mtu anitenge! Ndo kwanza sina muda🤣 yeye aendelee tu kunipita kama nyanya mbichi🤭
Na rafiki yako bado unamchukulia kwa uzito ule ule?
 
Na rafiki yako bado unamchukulia kwa uzito ule ule?
Wala pia sisi urafiki wetu si story na company tu maana hanaga watu wa kupiga nao story kanizoea mimi tuna kama miaka mi3, isitoshe yule dada alimfaham kupitia mimi maana nilienda nae kanisani kama mara 2, uyo dada kamjaza maneno ya uongo rafkiangu lazima ajisikie vby, mambo ya kuumiza sana ata kama ni wewe aisee
 
Duhh.. story of ma life![emoji28]

Yani ni kama umenisema jmn isitoshe ni mwanamke na ana nafasi ya uchungaji kanisani, nilifanyiwa maombi na nabii kuhusu kazi akanionesha ambayo nitapata, na kweli ikatimia si nikamrudia huyu dada(pastor) nikamuelezea huku nalia kwa furaha, kwani week iliisha[emoji28] tuliishia kugombana vitu havina mbele wala nyuma na kutukanana eti na pastor nyiee[emoji1787][emoji174]

Basi ndo saiz ananipita kama mshumaa wa pasaka mchungaji huyu hatusalimiani kanisani hebu imagine inavyoumiza, kugundua ndio zake hapendi kbs mtu apige hatua au amzidi yani ana wivu wa ajabu mpk kanisani mtu akija kachoka akaanza kufanikiwa anajinunisha mchungaji huyu! Eeh Mungu tusaidie[emoji29][emoji1431]
Kwani pastor ndo nani? Fanya nitumie namba yake ni mtongoze, itakuwa hajakazwa siku Mingi.
 
Wala pia sisi urafiki wetu si story na company tu maana hanaga watu wa kupiga nao story kanizoea mimi tuna kama miaka mi3, isitoshe yule dada alimfaham kupitia mimi maana nilienda nae kanisani kama mara 2, uyo dada kamjaza maneno ya uongo rafkiangu lazima ajisikie vby, mambo ya kuumiza sana ata kama ni wewe aisee
Mimi ni mr i don't care hata unichafue vipi sijali as long najua sio uhalisia wangu na sio kweli hata hainipi shida.
Napuuzia na life linaendelea.

Mtu akibaki au akitoka kwenye mzunguko wa maisha yangu huwa naona kawaida, ndio maisha. Rafiki akishakaa upande wa adui kwa namna yeyote ila huyo sio wa kumuamini japo ukaribu unaweza kuwepo.
 
Back
Top Bottom