Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

Hivi nyie wanadamu kwanini hampendi kuona watu wakifurahi eti?

Good morning,.

Yaani utakuta MTU wakati umepatwa na Jambo gumu au tatizo akimweleza anakupa pole anakufariji,. Anakuuliza kwahiyo tunafanyaje jamani mbona Jambo hili sio jepesi maskini,. Mara Ee Mungu wangu tusaidie🥺,. Anakushauri Hadi muanze kusali mfunge na kuombaa Kwa pamoja.....

Kila siku atakupigia simu kujua unaendelea ,.Pole zinakua nyingi mnoo na kuulizia Jambo lako limefikia wapi,. Utasikia "Ee Mungu wangu tunafanyaje maskini " .. Atakwambia usijali Jambo litakaa sawa ni suala na mda Tu kuwa na Subira..

Haya sawa baada ya mamiezi kupita umetokea umeovercome Ile challenge,. And your so excited kumwambia Yule MTU ambae uliona mlikua mnahuzunika pamoja walau mcelebrate au mumshukuru Mungu Kwa pamoja,. .. Heeeey!🙄,. Kwanza reaction Yake inabadilika badala ya furaha anakua na huzuni,. Anakupa hongera hiyo ambayo unakaa unajiuliza hivi huyu Yuko sawa kweli?,.

Haishii hapo,. Anakuzunguka Kwa watu wengine wanakaa kukujadili hivi imewezekanaje?,. Hili haliwezekani sio yeye itakua kuna mtu nyuma!. And yes MTU amekuvusha,..Anaona haitoshi anamtafuta Hadi aliyekusaidia kutaka kujua kwanini amekusaidia na mmepeana nini in return,. Yaani hataki kukubali kiurahisi kama ni kweli umevuka Ile changamoto..

Asa nmekaa nimejiuliza,. Ina maana yeye furaha yake ilikuwa kuniona nateseka au,. Kuniona nalia kila siku anavyonipa pole yeye ndio anajiskia furaha?,. Yaani yeye anafurahi kunipa pole na sio kunipa hongera au kunipongeza tufurahike pamoja tumeovercome tatizo,.

Nina wasiwasi hata tulivyokua tunasali, tutafunga na kuomba nlikuwa nasali mwenywe huyu mnafki hatukua tutafunga wote kama alivyokua alinambia,.

Wanadamu nimewanyoshea Miguu,. Maana mikono imeshachoka kuandika
Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.

Katika watu usipende kuwaamini ni watu wanaojionyesha wema sana, watu wa dini.

Mungu mfuate wewe kama wewe, ukiwa peke yako, masuala ya kumfuata Mungu kwa kikosi uyaache.

Watu wanaojionesha kumpenda sana Mungu, wana mambo yakifunuliwa kwako, utazimia...
 
Katika kitu nimejifunza ni hakuna mtu ambae anajali matatizo yako, utasimulia ataonekana anajali ila deep down hajali. Pia binadamu wanaenjoy zaidi kusikia matatizo yako kuliko mafanikio.

Kwahiyo usishangae reaction ya huyo mtu, binadamu wengi ndio tulivyo
 
Ni kwamba wewe ulichelewa kumgundua huyo mtu kuwa ni adui yako, kama hahusiki kukusababishia tatizo ulilokuwa nalo, bas anamfahamu mhusika au chanzo.

Katika watu usipende kuwaamini ni watu wanaojionyesha wema sana, watu wa dini.

Mungu mfuate wewe kama wewe, ukiwa peke yako, masuala ya kumfuata Mungu kwa kikosi uyaache.

Watu wanaojionesha kumpenda sana Mungu, wana mambo yakifunuliwa kwako, utazimia...
Naunga mkono hoja.
 
Yeah ni kweli,.

Umenena vyema
 
Back
Top Bottom