Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

Nahisi dishi kako limeinama maana everyday lazima uanzishe mada kuhusu wanaume
 
Wanaume wanajali kwan hata ukiwa na mimba unatongozwa bado ndo maan wanabaka hadi wanyama wengine ndo hao wanawapumulia wanaume wenzao wenyewe shida yao ni tundu tu ilimrad lnajoto .. baba yao shetani
 
Ajabu sijui wanawake huwa wanawaza nini. Wakiona tuu umekaa bar kipara kinawaka vizuri na funguo pembeni wanakuja jichombeza
 
Wanaamini sio kila Pete Ni za ndoa na engagement, zingine eti tumevalishwa na waganga.......Mleta mada hawana wanalowaza wanataka kukuharibia tu.
 
Kama unavaa vibaya trako linaonekana wazi wazi linatingishika hyo engagement ring ndo nn kama umeolewa una mume vaa vizuri jiheshimu sio unavaa kama slay queen
 
Kuvalishwa pete la chuma ndio kuolewa? Kamuulize Zari wema sepetu ,penina,tanasha zipo wapu zile pete walizovalishwa na Nasibu Nyange
 
Unaona kabisa mtu amevaa engagement ring alafu bado unamtongoza. Hivi mnawazaga nini? Mnakua mnajaribu tu au kuna kingine mnawagazaga?
Hatsa sisi wanaume tunaovaa ring za ndoa tunapendwa na wanawake tukitongoza tu imoo. Ni uamuzi tu kuzika au kusafirisha
 
Back
Top Bottom