Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

Hivi nyie wanaume wa hivi mnawaza nini?

Ukiona hivyo jua wewe mwenyewe hujiheshim, umekaa kimtongozo tongozo, either kwa mavaza,vimini, au shobo.

Mfano:
Wewe mwenyewe hapo ulipo nadhan ni mchumba wa mtu, au umeolewa kabisa, ila juzi umesifia mwanaume mwingine kuwa ni handsome, unadhan kwa style hiyo ukionana na ma hb utaacha kuwapa, kwa kauli zako zile wataacha kukutongoza[emoji23]
 
Shetani lazima afanye kazi yake mkuu

Maana hata nyie wanamke ni wafausi wake

Unakuta mwanamke ana ring tena kavalishwa kwa sherehe na gharma kibao afu anampanga mshikaji amuweke Cha mwisho kabla ya ndoa

Kwani mnaelewekaga nyie
Kuna jamaa nilmtafutia mke,wakatongozana kwenye sm kama miezi mitatu bila kuonana baadae wakakubaliana demu aende kwa jamaa mkoani wakaoane.

Jamaa akanitumia nauli,ili asubuhi moja nimsindikize demu aende mkoani,niliamka asubuhi sana ili nkamuamshe demu ajiandae kwa safari,tulikuwa jirani tu,ile kwenda namuona demu analetwa na mshikaji wake kumbe siku hyo alienda kulala kwa jamaa yake ambae walikuwa wana muda wameachana,kumbe alienda kama kumuaga ila hakumwambia kama atasafiri

Sasa mimi nikawa najiuliza,itakuwaje kama akienda na ujauzito kwa huyo jamaa yangu,
 
Pete hilo ni chuma chuma tu, mda wowote linatolewa kwenye hicho kidole.....Alaf wengine tunawapenda wenye pete coz tunaamini wanakuwaga na misimamo[emoji91][emoji91][emoji91]
Mnawapenda wenye pete[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!! Awe makini asee nyie viumbe sio poa kabisa!!
Sio sisi tumeumbwa hivi tu, wanyama wote wa kiume tukiwemo na sisi. Shida wanawake mnadhai mumepewa hiyo tamu kwa ajili ya ndoa na kuzaa. Kuna kujifurahisha tu nayo ni matumizi halali kabisa.

Labda njiwa nidye hana tabia ya kuchepuka.
 
Sio sisi tumeumbwa hivi tu, wanyama wote wa kiume tukiwemo na sisi. Shida wanawake mnadhai mumepewa hiyo tamu kwa ajili ya ndoa na kuzaa. Kuna kujifurahisha tu nayo ni matumizi halali kabisa.

Labda njiwa nidye hana tabia ya kuchepuka.
Hahaa
 
Sasa wewe unaona hatari mtu kuvuliwa pete a;laaah watu wanavuliwa chupi tena sio kuvuliwa wanavua wenyewe, wanaume usituchezee bana alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom