Kuna jamaa nilmtafutia mke,wakatongozana kwenye sm kama miezi mitatu bila kuonana baadae wakakubaliana demu aende kwa jamaa mkoani wakaoane.Shetani lazima afanye kazi yake mkuu
Maana hata nyie wanamke ni wafausi wake
Unakuta mwanamke ana ring tena kavalishwa kwa sherehe na gharma kibao afu anampanga mshikaji amuweke Cha mwisho kabla ya ndoa
Kwani mnaelewekaga nyie
Laaaah hii n hatari sanaWapo tunaowavua hizo engagement ring na kuwavalisha za kwetu
Mnawapenda wenye pete[emoji23]Pete hilo ni chuma chuma tu, mda wowote linatolewa kwenye hicho kidole.....Alaf wengine tunawapenda wenye pete coz tunaamini wanakuwaga na misimamo[emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji16][emoji16]Na wengine husema wamevaa kama urembo tu,hivyo tusipangiane
Hao hawaliliii pesa mnasaidiana na mumewe..!Mnawapenda wenye pete[emoji23]
Wacha mwenzio aliwe..Wewe!!! watu wanapindua meza wanayumbisha waliooana kabisa sembuse engagement tu!!!
Ukiingia kingi umeliwa.....
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ!! Awe makini asee nyie viumbe sio poa kabisa!!Wacha mwenzio aliwe..
Wanakuaga watam .balaa..wana ladha flaan hiv ya chuma chuma ..Unaona kabisa mtu amevaa engagement ring alafu bado unamtongoza. Hivi mnawazaga nini? Mnakua mnajaribu tu au kuna kingine mnawagazaga?
Sio sisi tumeumbwa hivi tu, wanyama wote wa kiume tukiwemo na sisi. Shida wanawake mnadhai mumepewa hiyo tamu kwa ajili ya ndoa na kuzaa. Kuna kujifurahisha tu nayo ni matumizi halali kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!! Awe makini asee nyie viumbe sio poa kabisa!!
HahaaSio sisi tumeumbwa hivi tu, wanyama wote wa kiume tukiwemo na sisi. Shida wanawake mnadhai mumepewa hiyo tamu kwa ajili ya ndoa na kuzaa. Kuna kujifurahisha tu nayo ni matumizi halali kabisa.
Labda njiwa nidye hana tabia ya kuchepuka.
Ni kwelia bwana ...nimecheki mada zake..dahNahisi dishi kako limeinama maana everyday lazima uanzishe mada kuhusu wanaume
Wewe unaogopa kuliwa..!Hahaa
Aliye kwambia hiyo Ring inaziba tundu nani dada ?Unaona kabisa mtu amevaa engagement ring alafu bado unamtongoza. Hivi mnawazaga nini? Mnakua mnajaribu tu au kuna kingine mnawagazaga?
Wewe unaogopa kuliwa..