EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Una picha nyengine za huyuView attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una picha nyengine za huyuView attachment 3146267
Raha ya Dera kulishikilia
kuna uzi wake humu alishazungumziwa, anaishi uswahilini nadhani mbagalaUna picha nyengine za huyu
🤣Ila kwenye mabukta umetusingizia na joto lote hili.
Nahuku wengi mmezeekaooh kumbe
Vijana hawaangalii uzee wanaangalia je nyuma kichuguu kipoNahuku wengi mmezeeka
Eh makubwaVijana hawaangalii uzee wanaangalia je nyuma kichuguu kipo
Wallah wabillaah!! 🥰Mi napenda skintight au khanga
Kwani nadanganya?Eh makubwa
"Kigodoro mwasiti kalivalia dera" by chidi benzHabari la jioni dada zangu wapendwa.
Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu.
Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga.
Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na Buza.
NB; Vijana na wafanyabiashara wa buguruni nimefungua BUGURUNI BUSINESS POINT chini ya kampuni yangu pendwa ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES ipo hapa bugurunì sheli na hizi ndio huduma zetu
Ahsante
Hivi si ni huyu piakuna uzi wake humu alishazungumziwa, anaishi uswahilini nadhani mbagala