Hivi nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanaume wazubaifu?

Mmmmh, ama kweli umetuchoka! Ila siri moja mama nikwambie, pamoja na uzubaifu wetu na manguo yetu ya vitenge ila tunajua kugegeda usiombe!!😁😁😁
 
Naendelea kuamini kuwa akili ni nywele........ kila mtu ana zake. Pia ni ukweli ulio wazi kuwa wanadamu wengi hasa jinsia ke hawaridhiki kirahisi, hata ukijitahidi vipi.......
 
Kuna muda nahisi mwanamke ndugu yake na Ibilisi.
Yani hawa ni viumbe wasiojua nini wanataka.
Ukiwa hauna kazi atakwambia sitaki mwanaume asiye na kazi,ukiwa na kazi na ukawa bize atasema namuhitaji mwanaume anayeweza kunipa muda sio yuko bize tu muda wote.
Ninyi mishipaa mnatakaga niniii!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…