Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎😎😎 enjoy
Andika vizuri sasa ili chuki zako zisikikeUnabwabwaja ukute chini kwenyewe manayama yana-ning'inia Kama pazia za wodini.
Hadi kwenye ukooMwandiko huu ni WA kiume kabisa.
Sema ndo hivo ni hasara Kwa taifa
Mmmmh, ama kweli umetuchoka! Ila siri moja mama nikwambie, pamoja na uzubaifu wetu na manguo yetu ya vitenge ila tunajua kugegeda usiombe!!😁😁😁Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.
Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.
Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
Usilete huzuni hapa kuna thread ya maafa ya kkoo mzee hujaitwaAsubuhi yote hii mnawaza mapenzi watu bado wamezama kwenye kifusi kariakoo Taifa la malofa Sana
Na kwa akili hizo sijui ka tutaweza kuwatoa ndugu zetu waliokwama huko kwenye kifusi kariakoo.Asubuhi yote hii mnawaza mapenzi watu bado wamezama kwenye kifusi kariakoo Taifa la malofa Sana
Achane na huyu njoo kwangu nakunywaa mpk gongoo 😂 na nikishalewaa utajuaa nakuwajeee...hawanywi hata wine
Naendelea kuamini kuwa akili ni nywele........ kila mtu ana zake. Pia ni ukweli ulio wazi kuwa wanadamu wengi hasa jinsia ke hawaridhiki kirahisi, hata ukijitahidi vipi.......Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.
Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.
Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
Kuna muda nahisi mwanamke ndugu yake na Ibilisi.Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi, mwanaume asiye poa ni furaha ya nyumba.
Lakini kuna majanaume fulani sijui kama yamekulia vijijini huko. Yenyewe yanazubaa tu, hayana mishe. Yanategemea mishahara pekee na yakitoka kazini ni moja kwa moja nyumbani, mpaka yanaboa. Wanaume hawa wanafuatilia tamthilia kwenye Azam TV, hawanywi hata wine, na gubu ndio usipime! Kununa kwa vitu vya kipuuzi ni kawaida. Kuvaa, hawajui; wanajua tu kuvaa manguo ya vitenge kama wacheza sindimba.
Jamani, wenzangu, mnawezaje kuishi na wanaume wazubaa hivyo?
Umeona sasa, we unaniona SHINDIKANA, wenzio wananimezea mate ya uchu 😀Kwahiyo kumbe bora shindikana wangu makaveli10
🤣🤣🤣🤣 kwakweli kila mtu anatamani asichokuwa nacho!Umeona sasa, we unaniona SHINDIKANA, wenzio wananimezea mate ya uchu 😀
Sasa hapo nishikilie kwa nguvu zako zote 🤣, shindikana lako ninamezewa mate🤣🤣🤣🤣 kwakweli kila mtu anatamani asichokuwa nacho!
Kwakweli acha nijishikilie haswa🤣🤣Sasa hapo nishikilie kwa nguvu zako zote 🤣, shindikana lako ninamezewa mate