Hivi nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanaume wazubaifu?

tatizo hakukukuta na bikira ko hakuamini hatak kucheza mbali.....akikuboa sana omba talaka
 
Siumuache mpuuzi wew 😫
 
Tukiwahi shida, tukichelewa shida, tukilala nje shida...
...tukiwa sober shida, tukinywa kidogo shida...

Wanaume waishi wanavyotaka, tusipangiwe...
 
Ebu kwanza tujuze una k mnato au ndo bwawa la mtera Hydroelectric power megawatt 7000 per maji
 
Tuseme amezubaa Kote mpaka chumbani?
 
Ni ngekuwa mimi ningekuwasha mangumi na mateke kila siku! Kenge wewe 😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…