Hivi nyinyi wadada mnaopost picha mkiwa viwanja mnakula bata na mitoko ya gharama hizo picha huwa mnapigwa na akina nani?

Mkuu nimeipiga kama mara nne juzi namtoa gheto nilikuwa na 100k na dem akaiona nikampa 25k dem akatakata nimpe 40k nikagoma akasema kama simpi leo nisimtafute tena nikasema fresh tu
Mwambie "Njoo nakupa 200k.."
Mwambie hivyo mkuu wala usimuache huyo kama ni mzuri na aura zenu zinaendana usimuache nakushauri..

Mwambie hivyo, atakuja tu kisha mtafune vizuri kisha mpe ten aweke kwenye mkoba..
Then mpeleke kwa fundi nguo ambae ofisi yake inawaka sana
Mwambie achague mshono na kitambaa kisha apimwe kabisa..
Baada ya hapo mbinyie fundi jicho mpe buku mbili ya soda then muondoe hapo muulize tunarudi geto au unaenda kwenu? Uone..

Hapo hakuna cha laki mbili wala nguo kwa fundi..
Maisha yataendelea tu ni mwendo wa kudanganyana..
 
mkuu mpaka kufika hapo nimeshamdanganya sana toka mwezi mwez wa kwanza huwa anakula ahadi za uongo anakuja gheto namgonga maisha yanaenda but now naona niishie hapa
 
Back
Top Bottom